mahari

Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.

View More On Wikipedia.org
  1. Riskytaker

    Hii ni kwa mabachela tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    hii inawahusu wanaume mabachela ambao wanapambana ila pesa ni kikwazo, linapokuja swala la mahari jamii nyingi za Tanzania hazina mchezo kabsa kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. Utalia upunguziwe may be watokomea 3m bado kununua vitu...
  2. Riskytaker

    kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  3. Selemani Sele

    Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

    Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa mke au mume kuforce kufunga ndoa na maiti Ilikuwa juzi wakati nahangaika na shughuli zangu za...
  4. Tajiri wa kusini

    Nimedatishwa na Malaya wa Morogoro soon naenda kutoa mahari

    Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika Ndiyo babake aisee Wakuu kiukweli pesa yoyote niliyopata kwwnye semina kiukweli nimemwagia yeye...
  5. mdukuzi

    Wewe ni mnene mweupe? Natoa mahari milioni 5, ndoa mwaka huu

    Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
  6. Mkalukungone mwamba

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  7. Lexus SUV

    Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  8. Loading failed

    Ni nani anayepaswa kulipa mahari

    Ndugu zangu. Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe. 1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa 2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari ili aoe binti aliyempenda
  9. Tajiri wa kusini

    Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  10. Mto Songwe

    Mahari inapaswa kupigwa marufuku, inatweza utu wa Mwafrika na kukumbusha historia mbaya

    Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa. Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

    Moja kwa moja kwenye mada. Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu. Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
  12. Kaka yake shetani

    Source code ya mahari kubwa ishara unayemuoa sio wife material kwa dunia hii

    Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa. Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

    Habari! Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa vipi huku hana bikra huku wengine wamezaa kabisa? Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani...
  14. Mjanja M1

    Haji Manara ameshatoa mahari kumuoa Zaiylissa

    Akiongea na Waandishi wa habari Zailyssa amesema kuwa Mpenzi wake ameshakamilisha taratibu zote za kidini na kisheria kwaajili ya kumuoa, ikiwemo kujitambulisha nyumbani kwao na wazazi wameshamkubali. Angalia video hapa chini.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia kuijadili na hapa tutajadiliana kwa hoja. Wale wenye hisia na mihemko ya kimbuzimbuzi tayari...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Usitoe mahari, epuka mila potofu

    Kwema Wakuu! Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutaka kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu. Kama kuna uwezekano fanyeni sherehe ndogo kulingana na uwezo wenu. Kamwe Usitoe mahari. Mahari ni kununua binadamu...
  17. Teslarati

    Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  18. Tajiri wa kusini

    Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  19. sky soldier

    Wanaume tunawaokoa wanawake kwa kuwaoa, Yafaa sisi ndio tupewe mahari

    Mahari iwe walau laki 5, gharama za sherehe ni sehemu ya mahari itayogharamiwa na upande wa binti. Binti hatongozi, ni sisi ndio wenye uwezo na kauli hio ya kuanza mahusiano, Na hata tukiingia kwenye mahusiano ni sisi wanaume wenye final say kwenye suala la kuoa. Binti kuolewa anafaidika vingi...
  20. Melki Wamatukio

    Nilitoa mahari mwaka jana mwezi Desemba. Lakini mpaka leo sijafuata jiko langu

    Ndo hivyo wakurugenzi. Mwaka jana nilikuwa na nia kabisa ya kitaka kuoa kutokana na upole, unyenyekevu, heshima na adabu aliyokuwa nayo huyo binti licha ya uzuri na rangi yake Mahari yenyewe haikuwa kubwa kiasi hicho, ni 300k tu. Niliitoa kiutani utani nikisindikizwa na ndugu pamoja na...
Back
Top Bottom