mahari

Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.

View More On Wikipedia.org
  1. Phobia

    Nimetajiwa ng'ombe 50 kwa ajili ya mahari tu, eeh nafwaa!

    Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu? Ama hakika...
  2. The unpaid Seller

    Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  4. C

    Nimesitisha kutoa mahari

    Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano. Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana. Nilimuona...
  5. ASIWAJU

    Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

    Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”  Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa...
  6. M

    Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Habari zenu wana JF, Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida. Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia...
  7. Blue Bahari

    Je, unaweza kumlipia mzazi (baba yako) wako mahari?

    Mambo vipi wanajamvi! Nakuja na mada yangu inayohusu kumlipia mahari baba yako pale ambapo hali yake kiuchumi si nzuri. Umeshawahi lifikiria suala hili? Twende pamoja! Iko hivi, baba na mama yako walioana miaka mingi iliyopita bila ya hata baba yako kumalizia mahari ukweni. Ahadi ya baba mzazi...
  8. S

    Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

    Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva! Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa. Hakuna wanaume siku hizi.
  9. chiembe

    Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

    Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki. Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo...
  10. Nyenyere

    Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Baba mkwe Shahidi wa Yehova kakataa mahari ya pesa, anataka apelekewe magovi matano ya watu wazima

    Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi. Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa) Kwa...
  12. LIKUD

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano. Muda wa...
  13. Akili Unazo!

    Hivi kwanini mwanamke akitaka kuolewa anatolewa mahari?

    Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa. Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui; Kupeleka barua ya posa Sijui kutoa mahari Sijui Kumvalisha pete ya uchumba Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa...
  14. S

    Picha: Binti anamaanisha kuwa hapendi kutolewa mahari

    Ametoa kauli fikirishi Sana. Nami najiuliza kwanini wazazi wanabadilisha mabinti zao na fedha, ng'ombe, mashuka, mikuki, pombe na majembe?
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Mahari ifutwe?

    Habari! Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi. Je, mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe? Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
  16. Nyendo

    Dodoma: Warudisha mahari ili kunusuru watoto wao

    MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya, amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14, wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto wao nyumbani baada kugundua kuwa watoto wamekuwa wakiteseka...
  17. S

    SoC02 Baba yangu wa kike anataka kuniozesha ili kurudisha mahari yake

    Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
  18. Poker

    Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

    Nina mshkaji wangu, homeboy wangu kabisa ana mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2. Mwana akaamua ampeleke mtoto kwa wazazi wake huko Tanga kwanjeka. Wazazi wa mwana wakamwelewa na kumkubali huyo demu kiroho safi, sasa ikawa zamu ya demu kwao ni Simiyu maeneo...
  19. Chabrosy

    Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    Habari wana jamvi! Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7. Kiukweli huyo kijana mtoto wa...
  20. nyehura

    Mahari ya Fahyma Yaongezeka, Mashabiki Wake Wamjia Juu kwa Kumchana Makavu

    Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia. Fahyvanny ambaye wengi...
Back
Top Bottom