Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

“Mtume wa Mwenyezi Mungu alichukua Safiya (bint Huyayy) kama mke wake. Aliwapa watu karamu ya harusi ambapo hakutoa chochote isipokuwa tende na samli (mafuta ya wanyama).”

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
 
Kwa nini wakiristo hamsujudu na nani aliwaamrisha kupiga disco kanisani na kukata mauno ?
 
Sasa wao wasiposujudu wewe ina kuathiri vipi na wao ni wakristo? Wakikata mauno au wakipita disco kwa imani yao shida kwako inatoka wapi? Ni sawa wao waje waulize kwa nini muddy alibaka kitoto au waislamu mnaudugu na majini. Mi huwa nawaaambia kila mtu ana uhuru wa kuchagua ndugu zake.
 
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
 
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
 
Wapi uisilamu umedharirishwa bwasheee? Niambie ni wapi
 
Back
Top Bottom