Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)

Kaka Sheria ni hizi hapa ... Kama nnaweza kuzikumbuka vizuri ...
1. Usiue
2. Usiibe
3. Usizini
3. Usishuhudue uongo
4. Ikumbuke siku ya sabato uitakase.
5. Mheshim baba na mama.
6. Usitaman Cha ndugu yako
7. Usilitaje jina la bwana MUNGU wako bure.
8. Usiabudu miungu Mingine Ila yeye MUNGU muumba wa mbingu na nchi.
9. Mpende jirani Kama uioendavyo nafasi yako.
10.

Ya kumi naisahau. Ila mze hauta iona mbingu kwakuzikashf dini za watu Bali tu kwakuzishoka amri hizi kumi.
 
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Acha kulia lia na moderators jibu hoja kukanusha. Hakuna matusi hapo.
 
Kaka Sheria ni hizi hapa ... Kama nnaweza kuzikumbuka vizuri ...
1. Usiue
2. Usiibe
3. Usizini
3. Usishuhudue uongo
4. Ikumbuke siku ya sabato uitakase.
5. Mheshim baba na mama.
6. Usitaman Cha ndugu yako
7. Usilitaje jina la bwana MUNGU wako bure.
8. Usiabudu miungu Mingine Ila yeye MUNGU muumba wa mbingu na nchi.
9. Mpende jirani Kama uioendavyo nafasi yako.
10.

Ya kumi naisahau. Ila mze hauta iona mbingu kwakuzikashf dini za watu Bali tu kwakuzishoka amri hizi kumi.
Kaka wapi ambapo nimekashifu dini ya mtu yeyote? Nioneshe niombe msamaha.kinachopeleka mbinguni si sheria peke yake. Kasome vizuri.
 
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Mkuu mbona hapo ulipoquote hawakusema alimuua mume wake mkuu
 
Malkia Zumaridi tumekusikia , unachukua maandiko Google halafu unataka kuchafua uislamu, obviously you are a dumb brute, I can forgive a dumb brute
 
Hivi huyo mtume ni dhambi gani ambayo hakuifanya ?
Kati ya hizi:
Kutoka 20
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

13 Usiue.

14 Usizini.

15 Usiibe.

16 Usimshuhudie jirani yako uongo.

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
 
Hi huyo mtume no dhambi gani ambayo hakuifanya ?

Nyie mna mungu wenu na wao wana Mungu wao, mbona Mungu wa Israel aliufanya mgumu moyo wa farao ili afanye mauaji tu wakati farao alisha kubali yaishe?
 
Kaka wapi ambapo nimekashifu dini ya mtu yeyote? Nioneshe niombe msamaha.kinachopeleka mbinguni si sheria peke yake. Kasome vizuri.

Ni kweli mzey.
Sorry pia Kama nimekukosea sehem.

Ukiwa na Nia ya kuelimisha nami nilikua na Nia hiyo hiyo.

Ila mrengo wangu uliegama kwenye mwongozo wa njia itulasayo.

Tumepewa Sheria Kama dira kwetu. Lakini haswaa neema yake unahitajika ili mtu kuiona pepo.

Mrengo wangu haswa wa ku comment hapo ni juu ya dhana yangu ambayo daima huwa napunga dini na utabaka. Isipokua naimani juu ya injili ikatazayo DHAMBI.

That's all. (Tunapeana elim kidogo ivo ivo ... Kuliko Kila siku tujadiri no Reforms na mapenzi )

🙏🙏🙏❤️❤️❤️🙏🙏
 
Malkia Zumaridi tumekusikia , unachukua maandiko Google halafu unataka kuchafua uislamu, obviously you are a dumb brute, I can forgive a dumb brute
Sawa Zuchu tumekusikia. Hujui maandiko ndo maana umeshindwa kupinga andiko umeleta mipasho ya kuchafua uisilamu.sasa sijui unachafukaje kwa andiko ambalo lipo humo humo. Totally you are a wicked ****** bitch. I dont blame you. Thats what bitches do i understand your situation.😁
 
Ni kweli mzey.
Sorry pia Kama nimekukosea sehem.

Ukiwa na Nia ya kuelimisha nami nilikua na Nia hiyo hiyo.

Ila mrengo wangu uliegama kwenye mwongozo wa njia itulasayo.

Tumepewa Sheria Kama dira kwetu. Lakini haswaa neema yake unahitajika ili mtu kuiona pepo.

Mrengo wangu haswa wa ku comment hapo ni juu ya dhana yangu ambayo daima huwa napunga dini na utabaka. Isipokua naimani juu ya injili ikatazayo DHAMBI.

That's all. (Tunapeana elim kidogo ivo ivo ... Kuliko Kila siku tujadiri no Reforms na mapenzi )

🙏🙏🙏❤️❤️❤️🙏🙏
Hujanikosea. Nami nataka nijue kama kuna sehemu nimedanganya katika maandiko niliyotoa.sipendi asilani kukosea maandiko kwa makusudi.

Sina tatizo kabisa na mtu anayeonesha ustaarabu na kuelimika. Sijajua wewe ni dini gani ila niseme tu kuwa ulilelewa vizuri sana. Ni nadra kukuta watu wa dini wapo hivi.
 
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Uislamu huwa unajidhalilisha wenyewe hakuna anayeudhqlilisha uislamu
 
Mtoa mada mtetezi wenu ameshazikwa huko vatican kwa sasa kaa kwa kutulia subiri labda Papa mpya atakuwa wa mrengo wenu kama marehemu Francis.

Ugua pole ila maumivu yakidhidi njia bora ni kunywa sumu ufe.
 
Back
Top Bottom