min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwa hili nakuunga mkono wengi wao hata kitabu Chao hawakijui kiundani.Nyamaza tu, mnasbebwa na jf, ila hasmna hoja kabisa na facts.
Kwa hili nakuunga mkono wengi wao hata kitabu Chao hawakijui kiundani.Nyamaza tu, mnasbebwa na jf, ila hasmna hoja kabisa na facts.
Hujasahau ya kumi, unajitoa ufahamu tuu. Umeruka moja . USIFANYIE SANAMU LA KUCHONGA, WALA MFANO WA KITU KILICHO DUNIANI WALA MBIGUNI, USIVIABUDU WALA KUVITUMIKIA...Kaka Sheria ni hizi hapa ... Kama nnaweza kuzikumbuka vizuri ...
1. Usiue
2. Usiibe
3. Usizini
3. Usishuhudue uongo
4. Ikumbuke siku ya sabato uitakase.
5. Mheshim baba na mama.
6. Usitaman Cha ndugu yako
7. Usilitaje jina la bwana MUNGU wako bure.
8. Usiabudu miungu Mingine Ila yeye MUNGU muumba wa mbingu na nchi.
9. Mpende jirani Kama uioendavyo nafasi yako.
10.
Ya kumi naisahau. Ila mze hauta iona mbingu kwakuzikashf dini za watu Bali tu kwakuzishoka amri hizi kumi.
Sio uongo,hii ni habari ya kweli kabisa. Baada ya kuuawa mume (Kijana) wa safiya ambaye Mohamed alitoa amri ateswe mpaka aseme walikoficha fedha.@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Nazani wanapenda kuchafua Imani za wengine ila mwenyezimungu ameshasema uislamu utaendelea kudhihiri hata kama makafiri watachukia.@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Sio uongo,hii ni habari ya kweli kabisa. Baada ya kuuawa mume (Kijana) wa safiya ambaye Mohamed alitoa amri ateswe mpaka aseme walikoficha fedha.
Safiya alikuwa binti mke wa Chief,mmoja ya askari wa Mohamed(Dihya) alimchukua kama mateka wake wa vita. Habari ilimfikia Mohamed kwamba Dihya amepata mwanamke mrembo kuliko wote.
Mohamed akatoa amri Dihya amlete Safiya ,kisha akamwambia ajichagulie katika watumwa wanawake wawili. Yeye akabakia na safiya,akamwoa bila hata kumtolea mahari .
Soma zaidi hapa,
Ibn Hisham, Conduct of the Messenger of Allah 764-5)
Safiya later said: “I did not hate anyone ass much as the Messenger of God, he killed my father and my husband.” A soldier by the name of Abu Ayyub had remained on guard in front of the tent, sword in hand, during the whole night when Mohammed was violating Safiya.
(At-Tabarani, Volume 24, p.67)
In the early morning, the Prophet asked him why he had remained in front of the tent. Abu Ayyub said, “I was afraid for you with this woman, because you killed her father, her husband, and her people, and until recently she was in disbelief, I was afraid for you .”
(Ibn Ishaq: sirat rasul allah – The life of Muhammad, p.517)
Imagine! How can you have sex with a woman when you have just killed her husband, her brother and her father? How could he have sex with her when she hated him with all her heart. Is not that a rape? Do not you call it rape, when you force someone who hates you to have a relationship?
View: https://youtu.be/kXSu00a_fno?si=m-pu0VYzitqvNpri
Hujasahau ya kumi, unajitoa ufahamu tuu. Umeruka moja . USIFANYIE SANAMU LA KUCHONGA, WALA MFANO WA KITU KILICHO DUNIANI WALA MBIGUNI, USIVIABUDU WALA KUVITUMIKIA...
Sio uongo,hii ni habari ya kweli kabisa. Baada ya kuuawa mume (Kijana) wa safiya ambaye Mohamed alitoa amri ateswe mpaka aseme walikoficha fedha.
Safiya alikuwa binti mke wa Chief,mmoja ya askari wa Mohamed(Dihya) alimchukua kama mateka wake wa vita. Habari ilimfikia Mohamed kwamba Dihya amepata mwanamke mrembo kuliko wote.
Mohamed akatoa amri Dihya amlete Safiya ,kisha akamwambia ajichagulie katika watumwa wanawake wawili. Yeye akabakia na safiya,akamwoa bila hata kumtolea mahari .
Soma zaidi hapa,
Ibn Hisham, Conduct of the Messenger of Allah 764-5)
Safiya later said: “I did not hate anyone ass much as the Messenger of God, he killed my father and my husband.” A soldier by the name of Abu Ayyub had remained on guard in front of the tent, sword in hand, during the whole night when Mohammed was violating Safiya.
(At-Tabarani, Volume 24, p.67)
In the early morning, the Prophet asked him why he had remained in front of the tent. Abu Ayyub said, “I was afraid for you with this woman, because you killed her father, her husband, and her people, and until recently she was in disbelief, I was afraid for you .”
(Ibn Ishaq: sirat rasul allah – The life of Muhammad, p.517)
Imagine! How can you have sex with a woman when you have just killed her husband, her brother and her father? How could he have sex with her when she hated him with all her heart. Is not that a rape? Do not you call it rape, when you force someone who hates you to have a relationship?
View: https://youtu.be/kXSu00a_fno?si=m-pu0VYzitqvNpri
Kwanini nyie mnasujudia jiwe lililopo Makkah?Kwa nini wakiristo hamsujudu na nani aliwaamrisha kupiga disco kanisani na kukata mauno ?
Kuna sehemu mtoa mada kaongopa?@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Nikaulize watu wakati sources zipo kibao online!!!??!! We jamaa hauko serious kabisa, safiya alikuwa victim wa ukatili wa Mohamed. Alikchukia Mohamed kuliko mwanaume yeyote duniani,I bet ulikuwa hujui hata Jina la mume wa safiya (kinana).Uongo mwingine huu. Mnadanganyana Bali ungeuliza watu wangekuelimisha ukaelewa vyema Kabla hujaandika hapa
Wanakimbilia kwa moderator,kama huu ni uongo walete sources ambazo ni za ukweli. Ukweli huushinda uongo kiurahisi tu.Kuna sehemu mtoa mada kaongopa?
Kwanini msikanushe kwa hoja kuwa ni uzushi
Hata sisi tujifunze kuhusu hii dini ya haki
Kubalini tu ujio wa Teknolojia ,utaziumbua sana hizi dini zenu maana mlikuwa mnafichwa vitu vingi
Hakuna kosa kafanya hapo, ni jukumu.lenu kujibu hojaModerator Active Paw Maxence Melo Huyu mtu mnamuachia anaota mbawa kila leo anaanzisha mada za kukashifu uislamu kwa copy na paste za uongo, tafadhali tuwe na fair play tusiharibu jukwaa letu kwa kuligeuza kijiwe cha kashfa kwa watu wetu wanaoheshimika zaidi.
Nashangaa page ya 3 sasa, hakuna aliyejibu hoja ,zaidi wanalia kwa Moderator afute UziWanakimbilia kwa moderator,kama huu ni uongo walete sources ambazo ni za ukweli. Ukweli huushinda uongo kiurahisi tu.
Hoja yako hapa ni nini kijana?Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Huyu Komeo Lachuma tunamfahamu kwa miaka hata siku 1 hajapata kuanzisha mada ili ajifunze, ama mama wa waumini swafiyyah bint huyyayi allah amridhie yeye alipatikana mateka wakati wa vita vya khaybar na baba yake na ndugu yake na mume wake waliuwawa katika vita hivyo na huyu swafiyyah alikuwa ni bibi harusi bado, mtume swala na amani ziwe juu yake akamchagua na akampa hiari achague kusilimu au kubaki katika dini yake ya uyahudi na khabari hii imeelezwa katika sira sahihi:Hakuna kosa kafanya hapo, ni jukumu.lenu kujibu hoja
Hakuna sehemu katukana ,kakashfu
Inatakiwa mjibu hoja ,
Safia alikuwa mke wa nani
Je Muhammad alimpata vipi safia
Je kwanini bwana wa safia aliuwawa
Jibuni hoja sio kulialia kwa Moderator
Nataka kujua kosa la Mohamadi nini wakati Mume wake Safiyah kafia uwanja wa vitaKwanini unalinganisha Daudi na Muhammad?
Unataka kusema daud na Muhammad wako sawasawa?
Kwani kumuua mtu vitani toka lini likawa kosa? au labda utuambie kuna tatizo jingineWapi uisilamu umedharirishwa bwasheee? Niambie ni wapi
Nyuzi nyepesi hizi wala hakuna haja ya kulalamika majibu mbona yapo@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo