ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Mimi sijaona hoja kwasababu hii ilikuwa ni vita mtu kufa haiwezi kuwa jambo la kushangazaAcha kulia lia na moderators jibu hoja kukanusha. Hakuna matusi hapo.
Mimi sijaona hoja kwasababu hii ilikuwa ni vita mtu kufa haiwezi kuwa jambo la kushangazaAcha kulia lia na moderators jibu hoja kukanusha. Hakuna matusi hapo.
Sio uongo,hii ni habari ya kweli kabisa. Baada ya kuuawa mume (Kijana) wa safiya ambaye Mohamed alitoa amri ateswe mpaka aseme walikoficha fedha.
Safiya alikuwa binti mke wa Chief,mmoja ya askari wa Mohamed(Dihya) alimchukua kama mateka wake wa vita. Habari ilimfikia Mohamed kwamba Dihya amepata mwanamke mrembo kuliko wote.
Mohamed akatoa amri Dihya amlete Safiya ,kisha akamwambia ajichagulie katika watumwa wanawake wawili. Yeye akabakia na safiya,akamwoa bila hata kumtolea mahari .
Soma zaidi hapa,
Ibn Hisham, Conduct of the Messenger of Allah 764-5)
Safiya later said: “I did not hate anyone ass much as the Messenger of God, he killed my father and my husband.” A soldier by the name of Abu Ayyub had remained on guard in front of the tent, sword in hand, during the whole night when Mohammed was violating Safiya.
(At-Tabarani, Volume 24, p.67)
In the early morning, the Prophet asked him why he had remained in front of the tent. Abu Ayyub said, “I was afraid for you with this woman, because you killed her father, her husband, and her people, and until recently she was in disbelief, I was afraid for you .”
(Ibn Ishaq: sirat rasul allah – The life of Muhammad, p.517)
Imagine! How can you have sex with a woman when you have just killed her husband, her brother and her father? How could he have sex with her when she hated him with all her heart. Is not that a rape? Do not you call it rape, when you force someone who hates you to have a relationship?
View: https://youtu.be/kXSu00a_fno?si=m-pu0VYzitqvNpri
Mtoa mada katoa hoja gani? katoa taarifa alipaswa kusema kuwa hapo kulikuwa ni uwanja wa vita sio sokoni hapo kuwa utauliwa bila sababuKuna sehemu mtoa mada kaongopa?
Kwanini msikanushe kwa hoja kuwa ni uzushi
Hata sisi tujifunze kuhusu hii dini ya haki
Kubalini tu ujio wa Teknolojia ,utaziumbua sana hizi dini zenu maana mlikuwa mnafichwa vitu vingi
Dogo mbona nmetumia lugha nyepesi sana ambayo mtoto wa darasa la 3 hadi 5 E anaelewa kwa wepesi sana. Anyway tafuta mtu akusomee akueleweshe.yaani tunaandika kwa lugha hii adhimu na bado mnataka ufafanuzi? C'mon dont be that much lazy. Shake your brain a little bit. Hoja ipo very naked.Hoja yako hapa ni nini kijana?
Mkianzisha hizi nyuzi mnitag mimi ndio napenda sana , kujibu watu ambao wanadandia mambo bila kuyajua kwa undaniWanakimbilia kwa moderator,kama huu ni uongo walete sources ambazo ni za ukweli. Ukweli huushinda uongo kiurahisi tu.
Aliyefanya hivi alikuwa anajiita mtume,aliua mume wa mtu baada ya kutoa amri ateswe kwanza. Akamuoa mkewe,hakutoa mahari,hakusubiri hate Eda ipite.Hapa kuna shida gani ? Hii ilikuwa ni vita kufa watu ni jambo la kawaida, kuhusu mateka wa kike kufanywa mke pia ni jambo la kawaida mnacho shangaa hapa kama kuna kitu cha ajabu ni nini?
Hoja yako nini kwenye hiki kisa? ebu sema upewe elimu maana kisa hakina tatizo zaidi ulitakiwa useme hapo palikuwa uwanja wa vita sio chooniDogo mbona nmetumia lugha nyepesi sana ambayo mtoto wa darasa la 3 hadi 5 E anaelewa kwa wepesi sana. Anyway tafuta mtu akusomee akueleweshe.yaani tunaandika kwa lugha hii adhimu na bado mnataka ufafanuzi? C'mon dont be that much lazy. Shake your brain a little bit. Hoja ipo very naked.
Sheikh mtu kachukuliwa mateka, kapelekwa utumwani, mumewe kauawa.,wazazi wake wameuawa, hana mbele wala nyuma. AKATE KUOLEWA NA MUHAMAD KWELI? ameshaona kilichotokea kwa WAZAZI WAKE, MUMEWE NA NDUGUZE? na imani hata wewe ungekubali kuolewa Yeshe.Huyu Komeo Lachuma tunamfahamu kwa miaka hata siku 1 hajapata kuanzisha mada ili ajifunze, ama mama wa waumini swafiyyah bint huyyayi allah amridhie yeye alipatikana mateka wakati wa vita vya khaybar na baba yake na ndugu yake na mume wake waliuwawa katika vita hivyo na huyu swafiyyah alikuwa ni bibi harusi bado, mtume swala na amani ziwe juu yake akamchagua na akampa hiari achague kusilimu au kubaki katika dini yake ya uyahudi na khabari hii imeelezwa katika sira sahihi:
اختاري ، فإن اخترت الإسلام أمسكتك لنفسي – أي : تزوجتك - ، وإن اخترت اليهودية فعسى أن أعتقك فتلحقي بقومكswafiyyah radhi za allah ziwe juu yake akasema katika jumla ya maneno yake "......وخيرتني الكفر والإسلام ، فالله ورسوله أحب إلي من العتق وأن أرجع إلى قومي
"chagua ukichagua uislamu nitakuoa, na ukichagua uyahudi basi hakika nitakuacha huru ukakutane na jamaa zako"
na umenipa hiari baina ya ukafiri na uislamu na allah na mtume wake wanapendeza zaidi kwangu kuliko kuachwa huru na kurudi kwa jamaa zangu.."
Mtume alayhi ssalaam akafunga nae ndoa kwa hiari yake na ni mama wa waumini tunampa heshima hiyo mpaka leo hii, hapo kuna mgogoro upi? ni haramu mtume kufunga ndoa?.
Na khabari hii ipo katika swahihul bukhaariyy.
Sasa ulitaka amchekee kwenye uwanja wa vita? adui anaeweza kukuua hata wewe unaweza kumuua, halafu huyo mwanamke akishakuwa mateka hana amri ni juu yake anae mmiliki mateka, akitaka atamuoa asipotaka basi huu ndio utaratibu wa mateka wa kivita, shida iko wapi?Aliyefanya hivi alikuwa anajiita mtume,aliua mume wa mtu baada ya kutoa amri ateswe kwanza. Akamuoa mkewe,hakutoa mahari,hakusubiri hate Eda ipite.
Sio hivyo tu,usiku ule mmoja wa wafuasi wa Mohamed mwenye moyo wa kibinadamu alionesha nje ya hema ya Mohamed. Mohamed alivyomkuta nje asubuhi anamuuliza vipi wewe? Akajibu ,nilikuwa nahofia usalama wako kwa sababu huyu mwanamke tumeua mume,baba n familia yake yote.
Kama kweli alikuwa “huru”, basi uhuru huo ungetakiwa uanze kwa heshima ya haki zake za msingi—ikiwa ni pamoja na kutomchukua mateka baada ya vita. Huo ndio msingi wa hoja yangu,tukitumia mizani ya maadili ya sasa.Huyu Komeo Lachuma tunamfahamu kwa miaka hata siku 1 hajapata kuanzisha mada ili ajifunze, ama mama wa waumini swafiyyah bint huyyayi allah amridhie yeye alipatikana mateka wakati wa vita vya khaybar na baba yake na ndugu yake na mume wake waliuwawa katika vita hivyo na huyu swafiyyah alikuwa ni bibi harusi bado, mtume swala na amani ziwe juu yake akamchagua na akampa hiari achague kusilimu au kubaki katika dini yake ya uyahudi na khabari hii imeelezwa katika sira sahihi:
اختاري ، فإن اخترت الإسلام أمسكتك لنفسي – أي : تزوجتك - ، وإن اخترت اليهودية فعسى أن أعتقك فتلحقي بقومكswafiyyah radhi za allah ziwe juu yake akasema katika jumla ya maneno yake "......وخيرتني الكفر والإسلام ، فالله ورسوله أحب إلي من العتق وأن أرجع إلى قومي
"chagua ukichagua uislamu nitakuoa, na ukichagua uyahudi basi hakika nitakuacha huru ukakutane na jamaa zako"
na umenipa hiari baina ya ukafiri na uislamu na allah na mtume wake wanapendeza zaidi kwangu kuliko kuachwa huru na kurudi kwa jamaa zangu.."
Mtume alayhi ssalaam akafunga nae ndoa kwa hiari yake na ni mama wa waumini tunampa heshima hiyo mpaka leo hii, hapo kuna mgogoro upi? ni haramu mtume kufunga ndoa?.
Na khabari hii ipo katika swahihul bukhaariyy.
Duh!Sasa wao wasiposujudu wewe ina kuathiri vipi na wao ni wakristo? Wakikata mauno au wakipita disco kwa imani yao shida kwako inatoka wapi? Ni sawa wao waje waulize kwa nini muddy alibaka kitoto au waislamu mnaudugu na majini. Mi huwa nawaaambia kila mtu ana uhuru wa kuchagua ndugu zake.
Well kama huoni shida katika hili basi kuna tatizo kwenye ufahamu wako,huyu mtu ni mfano wa kuigwa kwa vizazi vyote.Sasa ulitaka amchekee kwenye uwanja wa vita? adui anaeweza kukuua hata wewe unaweza kumuua, halafu huyo mwanamke akishakuwa mateka hana amri ni juu yake anae mmiliki mateka, akitaka atamua asipotaka basi huu ndio utaratibu wa mateka wa kivita, shida iko wapi?
Maandiko ya Kiislamu yanathibitisha kwamba baba na mume wa Safiyya bint Huyayy waliuawa wakati wa vita vilivyoongozwa na Mtume Muhammad (SAW).Huyu Komeo Lachuma tunamfahamu kwa miaka hata siku 1 hajapata kuanzisha mada ili ajifunze, ama mama wa waumini swafiyyah bint huyyayi allah amridhie yeye alipatikana mateka wakati wa vita vya khaybar na baba yake na ndugu yake na mume wake waliuwawa katika vita hivyo na huyu swafiyyah alikuwa ni bibi harusi bado, mtume swala na amani ziwe juu yake akamchagua na akampa hiari achague kusilimu au kubaki katika dini yake ya uyahudi na khabari hii imeelezwa katika sira sahihi:
اختاري ، فإن اخترت الإسلام أمسكتك لنفسي – أي : تزوجتك - ، وإن اخترت اليهودية فعسى أن أعتقك فتلحقي بقومكswafiyyah radhi za allah ziwe juu yake akasema katika jumla ya maneno yake "......وخيرتني الكفر والإسلام ، فالله ورسوله أحب إلي من العتق وأن أرجع إلى قومي
"chagua ukichagua uislamu nitakuoa, na ukichagua uyahudi basi hakika nitakuacha huru ukakutane na jamaa zako"
na umenipa hiari baina ya ukafiri na uislamu na allah na mtume wake wanapendeza zaidi kwangu kuliko kuachwa huru na kurudi kwa jamaa zangu.."
Mtume alayhi ssalaam akafunga nae ndoa kwa hiari yake na ni mama wa waumini tunampa heshima hiyo mpaka leo hii, hapo kuna mgogoro upi? ni haramu mtume kufunga ndoa?.
Na khabari hii ipo katika swahihul bukhaariyy.
Hujaona nyuzi zinazowakejeli Wakatoliki, Wasabato na Wagalatia wengine hapa jukwaa??@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Nitajitahidi maana jina lako ni geni ila nitapenda sana uje nikufundishe hadith za Quran na mambo ya Muhamad. Mimi nlipata hii Ilimu nikiwa mdogo nikakua katika hiyo mpaka sasa mzee.Mkianzisha hizi nyuzi mnitag mimi ndio napenda sana , kujibu watu ambao wanadandia mambo bila kuyajua kwa undani
Siku nyingine uwe unasoma acha uvivu hivi vitu vya kawaida bora Mohamadi alioa kwa tende na Samli kuna hawa hapa sasa😀Sheikh mtu kachukuliwa mateka, kapelekwa utumwani, mumewe kauawa.,wazazi wake wameuawa, hana mbele wala nyuma. AKATE KUOLEWA NA MUHAMAD KWELI? ameshaona kilichotokea kwa WAZAZI WAKE, MUMEWE NA NDUGUZE? na imani hata wewe ungekubali kuolewa Yeshe.
Nina miaka zaidi ya 10 humu siwezi kuwa mgeni hata siku mojaNitajitahidi maana jina lako ni geni ila nitapenda sana uje nikufundishe hadith za Quran na mambo ya Muhamad. Mimi nlipata hii Ilimu nikiwa mdogo nikakua katika hiyo mpaka sasa mzee.
Soma hapa kwanza kabla hatujaanza kukufundisha kuwa mtumwa amri ni kwa anae mmiliki sio yeyeKama kweli alikuwa “huru”, basi uhuru huo ungetakiwa uanze kwa heshima ya haki zake za msingi—ikiwa ni pamoja na kutomchukua mateka baada ya vita. Huo ndio msingi wa hoja yangu,tukitumia mizani ya maadili ya sasa.
---
1. Kumchukua mateka ni uvunjaji wa uhuru wake tayari
Unapomchukua mwanamke mateka:
Unamtoa kwa nguvu katika jamii yake
Unamuweka kwenye hali ya kutegemea watu waliomshinda
Unamnyang’anya uhuru wa msingi wa kuchagua
Halafu baadaye ukamwambia, “nimekuacha huru, chagua unachotaka,” tayari huo si uhuru wa kweli—bali ni chaguo lenye kushinikizwa na mazingira ya kutokuwa na msaada wala njia mbadala.
Kwa hiyo:
Hata kama alipewa nafasi ya kuchagua baada ya hapo, chaguo hilo lilikuwa ndani ya kuta za udhaifu na kujeruhiwa kiakili. Hakukuwa na usawa wa uamuzi.
---
2. Kama angekataaa nini kingemtokea?
Hili halijasemwa wazi na vyanzo, lakini:
Kama angelikataa kuolewa na Muhamad, bado angekuwa mateka, au labda angepewa mtu mwingine.
Kusema kweli, hakukuwa na mfumo rasmi wa kuwahifadhi wanawake mateka waliokataa ndoa—isipokuwa Mtume angemtunza kwa hiari, kitu ambacho hakikuhakikishwa kwa wote.
Hii inaonesha wazi kuwa Safiya alikabiliwa na chaguo la “ndoa au kutupwa,” si “ndoa au maisha ya uhuru kamili.” Na hiyo si “hiari” kwa maana ya kweli.
Ni kama kisa cha daudi tu alivyo muua mume wa abigaili nakumwoa abigaili , au alivyo muua uria mhiti na kujichukulia bathsheba.
Hayo ni makosa kabisa. Hayakupaswa kuwa hivyo ndo maana kwa sasa hawafanyi tena hivyo.KUUA NI DHAMBI KABISA. NI USHETANI, UNYAMA. KWA SASA NI UPENDO TU. HAKUNA KUUANA UANASiku nyingine uwe unasoma acha uvivu hivi vitu vya kawaida bora Mohamadi alioa kwa tende na Samli kuna hawa hapa sasa😀
Mshamuulia wazazi wake na ndugu zake vitani hiki ndio anapata kama mateka wa kike
KUMBU LA TORATI 20 : 10-13
10-Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na Bwana, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo MATEKA,
11-ukaona kati ya mateka MWANAMKE mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;
12- ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye ATANYOA kichwa, AKATE na kucha;
13-avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.
Mahari kunyoa nywele na kukata kucha