min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mimi sina Mungu wala mtume kwenye hayo nitoe kabisa.Kwa Daudi huwa tunamsema kwenye huo uhuni licha ya kwamba aliaehibiwa, ila huyo mtume wenu huwa hamtaki atajwe kwenye hayo mauchafu yake, yaani huwa mnamuona kama mungu mtu, mtimilifu, mkamilifu, malaika yaani akitajwa huwa hata mnajilipua mabomu.