Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Tulia wewee

Nyau de adriz NYANGWISI NYAMBULET

UUUMBWAA
 
Ananiambia nikawaulize wayahudi ,na yeye akileta hoja za Quran tutamwambia akamuulize mtume kaburini, anataka ugomvi wa mawe wakati anaishi nyumba ya Vioo
Mi ugomvi ndo nautaka. Tupopoane hasa. Unataka nikamuulize Muddy? Sawa mi wala sina tatizo na hilo.
 
Uzi unahusu Muddy au Mo.
Mudy mwengine huyu hapa anaitwa Yehovah alituma watu wake kuua watu , kuanzia wazee mpaka watoto wanao nyonya, unaswali jingine?

Waueni kabisa, mzee, na kijana, na msichana, na watoto wachanga, na wanawake; lakini msimkaribie mtu ye yote mwenye hiyo alama; tena anzeni katika patakatifu pangu. Basi, wakaanza kwa wazee waliokuwa mbele ya nyumba.

Ezekieli 9:6
 

Attachments

  • Screenshot_20250430-203552_1.jpg
    Screenshot_20250430-203552_1.jpg
    293.9 KB · Views: 15
@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Huu ndio.ukweli
 
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.


Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:


(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Mtume wa Mwenyezi Mungu alichukua Safiya (bint Huyayy) kama mke wake. Aliwapa watu karamu ya harusi ambapo hakutoa chochote isipokuwa tende na samli (mafuta ya wanyama).”

Mbona ktk hiyo hadithi yako hakuna hayo mdai yako

Sioni kuuliwa huyo baba wa Binti

Sioni hiyo mahari aliyopewa Binti

Hau haujui mahali maana yake Nini katika uislam
Hizo tende na samli ni kalamu ya harusi Yani chakula katika sherehe ya harusi

Mahari ni kiasi Cha mali au pesa mwanamke mwenyewe Kwa ridhaa yake anatamka apewe na mume anayetaka kumuoa


Wewe kwanza kafiri alafu kilaza ila Kwa kuwa unawadanganya wagalatia wenzanko Haina shida
 
Mudy mwengine huyu hapa anaitwa Yehovah alituma watu wake kuua watu , kuanzia wazee mpaka watoto wanao nyonya, unaswali jingine?

Waueni kabisa, mzee, na kijana, na msichana, na watoto wachanga, na wanawake; lakini msimkaribie mtu ye yote mwenye hiyo alama; tena anzeni katika patakatifu pangu. Basi, wakaanza kwa wazee waliokuwa mbele ya nyumba.

Ezekieli 9:6
Muddy ni Muddy.
 
Hii ndani ya Biblia hakuiona.Ya kumuua mume na kuoa mke.Tena kwa baraka za Mungu wa Biblia.
 
Back
Top Bottom