Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Mtume wa Mwenyezi Mungu alichukua Safiya (bint Huyayy) kama mke wake. Aliwapa watu karamu ya harusi ambapo hakutoa chochote isipokuwa tende na samli (mafuta ya wanyama).”

Mbona ktk hiyo hadithi yako hakuna hayo mdai yako

Sioni kuuliwa huyo baba wa Binti

Sioni hiyo mahari aliyopewa Binti

Hau haujui mahali maana yake Nini katika uislam
Hizo tende na samli ni kalamu ya harusi Yani chakula katika sherehe ya harusi

Mahari ni kiasi Cha mali au pesa mwanamke mwenyewe Kwa ridhaa yake anatamka apewe na mume anayetaka kumuoa

Wewe kwanza kafiri alafu kilaza ila Kwa kuwa unawadanganya wagalatia wenzanko Haina shida
 
Wewe kwanza kafiri alafu kilaza ila Kwa kuwa unawadanganya wagalatia wenzanko Haina
Umetoa ufafanuzi mzuri
 
Mtume wa Mwenyezi Mungu alichukua Safiya (bint Huyayy) kama mke wake. Aliwapa watu karamu ya harusi ambapo hakutoa chochote isipokuwa tende na samli (mafuta ya wanyama).”

Mbona ktk hiyo hadithi yako hakuna hayo mdai yako

Sioni kuuliwa huyo baba wa Binti

Sioni hiyo mahari aliyopewa Binti

Hau haujui mahali maana yake Nini katika uislam
Hizo tende na samli ni kalamu ya harusi Yani chakula katika sherehe ya harusi

Mahari ni kiasi Cha mali au pesa mwanamke mwenyewe Kwa ridhaa yake anatamka apewe na mume anayetaka kumuoa

Wewe kwanza kafiri alafu kilaza ila Kwa kuwa unawadanganya wagalatia wenzanko Haina shida
MIMI KAFIR TU KAMA WEWE ULIVYO. SEMA NIMEKUZIDI MIMI NINA ILIMU WEWE NI KAFIR MAAMUMA. MIMI NI WATU WA KITABU. UJE UPATE MADINI KWANGU.

maandiko ya Kiislamu yanathibitisha kwamba baba na mume wa Safiyya bint Huyayy waliuawa wakati wa vita vilivyoongozwa na Muhammad.

Baba wa Safiyya: Huyayy ibn Akhtab

Huyayy ibn Akhtab alikuwa kiongozi wa kabila la Kiyahudi la Banu Nadir. Baada ya kushindwa kwa Banu Qurayza katika Vita vya Handaki (627 CE), Huyayy alikamatwa na kuuawa pamoja na wanaume wengine wa kabila hilo. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Mume wa Safiyya: Kenana ibn al-Rabi

Kenana ibn al-Rabi alikuwa mume wa Safiyya na mtunza hazina wa Banu Nadir. Baada ya ushindi wa Waislamu katika Vita vya Khaybar (628 CE), Kenana alikamatwa na kuteswa ili kufichua mahali pa hazina ya kabila lake. Alipokataa kutoa taarifa, aliuawa kwa amri ya Muddy aka Muhammad. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Baada ya kifo cha Kenana, Safiyya alichukuliwa mateka na baadaye kuolewa na Muhammad. Maelezo haya yanapatikana katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, kama "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq na "Tarikh al-Tabari" ya al-Tabari
 
Muddy ni Muddy.
Hakika hakika Yehovah Mudy huyu hapa

Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.

1 Samueli 15:3
 
Kwenye vita kuua ni kuua tu hakuna kuuawa kinyama, mfano hapa Angalia nabii Samweli alivyofanya kwa Mfalme Agagi vip kwa maelezo yako huu ni unyama au mfupa? Agagi alikatwa vipande vipande kama nyama, haya tuambie huo ukatili wa Mohamadi kushinda huu wa Nabii Samweli?

Lakini Samweli akamjibu, Kama upanga wako ulivyofanya wanawake kufiwa na watoto wao, vivyo hivyo mama yako atafiwa miongoni mwa wanawake. Basi Samweli akamkata Agagi vipande mbele za Bwana huko Gilgali.

1 Samueli 15:33

Uzuri Bwana alikuwa shahidi na alipitisha, ndio maana nakwambia huyo Mungu wenu alikuwa anavuta Shisha kwenye Agano lake
 
Hii ndani ya Biblia hakuiona.Ya kumuua mume na kuoa mke.Tena kwa baraka za Mungu wa Biblia.
Yakobo alitafuna mtu na dada yake , akaona haitoshi akatafuna mabeki tatu wao, hii wala haina shida ngoja asikie Mohamadi katafuna myahudi wivu unamjaa
 
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.

Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.

Sahih al-Bukhari

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:

(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Ufafanuzi wa hadithi hiyo (Sahih al-Bukhari):

Hadithi hiyo haisemi chochote cha kuonyesha ubaya au dosari kwa Mtume (S.A.W). Badala yake, inaonyesha:

1. Unyenyekevu wa Mtume (S.A.W) – Alifanya karamu ya ndoa kwa unyenyekevu, kwa kutumia chakula kilichopo: tende na samli. Hii ni somo la kuepuka gharama kubwa zisizo na ulazima.

2. Haki ya ndoa na heshima kwa wake – Safiyyah (r.a) alikuwa mateka wa vita, lakini Mtume alimuoa kwa heshima, akaachana na utumwa, jambo lililokuwa halina kifani kwa wakati huo. Kwa hiyo, ndoa yake ilikuwa ishara ya utu na rehema.

3. Kuondoa dhuluma ya kijamii – Mtume hakuwa mtu wa tamaa ya mali au wanawake kama wapinzani wanavyotaka kupotosha. Alilenga kufuta mila potofu na kujenga jamii ya haki.

Kwa mpuuzi wewe anayepotosha hadithi:

Mtu anayechukua andiko na kulipindisha bila elimu, ni sawa na mtu anayeingia daktari bila kujua tiba, kisha akapotosha tiba kwa wagonjwa. Hivyo, mjibu kwa kusema:

"Ndugu, hadithi hiyo siyo ya kejeli kama unavyodhani. Inafundisha unyenyekevu, utu, na heshima. Tafadhali soma historia kamili ya maisha ya Mtume (S.A.W) na usiichukue aya au hadithi nje ya muktadha wake. Elimu sahihi huondoa upofu wa chuki."
 
Ufafanuzi wa hadithi hiyo (Sahih al-Bukhari):

Hadithi hiyo haisemi chochote cha kuonyesha ubaya au dosari kwa Mtume (S.A.W). Badala yake, inaonyesha:

1. Unyenyekevu wa Mtume (S.A.W) – Alifanya karamu ya ndoa kwa unyenyekevu, kwa kutumia chakula kilichopo: tende na samli. Hii ni somo la kuepuka gharama kubwa zisizo na ulazima.

2. Haki ya ndoa na heshima kwa wake – Safiyyah (r.a) alikuwa mateka wa vita, lakini Mtume alimuoa kwa heshima, akaachana na utumwa, jambo lililokuwa halina kifani kwa wakati huo. Kwa hiyo, ndoa yake ilikuwa ishara ya utu na rehema.

3. Kuondoa dhuluma ya kijamii – Mtume hakuwa mtu wa tamaa ya mali au wanawake kama wapinzani wanavyotaka kupotosha. Alilenga kufuta mila potofu na kujenga jamii ya haki.

Kwa mpuuzi wewe anayepotosha hadithi:

Mtu anayechukua andiko na kulipindisha bila elimu, ni sawa na mtu anayeingia daktari bila kujua tiba, kisha akapotosha tiba kwa wagonjwa. Hivyo, mjibu kwa kusema:
Ufafanuzi hata mimi ninao si imeandikwa kiswahili hapo? Kwani ni kimakonde hicho? Najua kiarabu kidogo najua kiswahili. Ipo wazi. Sihitaji ufafanuzi wa kimbwa koko. Ha ha ha..... NYIE MAAMUMA. NAWAPA DARSA BURE KABISA.
 
Kafiri kafiri tu
 
🤣Nyie si mnakata watu shingo?sasa ujaribu uone ntakavyokutoa nduki KAFIR MKUBWA WEWE na MUDY WAKO
Sio kila mtu anakatwa shingo. Shingo anakatwa ukimtukana mtume mbele ya muislam, hata muislam awe mlevi siku hiyo atakiondoa kichwa chako
 
Back
Top Bottom