Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Kijana unahangaika sana umerukia katika hadithi nyingine na hiyo ndio hadithi yenu pendwa wagalatiaSuala la kujipendekeza hilo tumelizoea ni sababu hamjiamini. Wakristo wanawakana kuanzia Muddy na hata hUYO issa wenu hawamtambui bakinin naye nyie.
UKAFIR MKUBWA NI KUOA MTOTO WA MIAKA 6 NI UKAFIR WA KIWANGO CHA SHETANI.
Sahih al-Bukhari, Hadith 3894 (Kitab al-Maghazi):
حدثني محمد بن المثنى، حدثنا عبد الوهاب، حدثنا أيوب، عن هشام، عن أبيه، عن عائشة، قالت: "تزوجني النبي صلى الله عليه وسلم وأنا بنت ست سنين، وبنى بي وأنا بنت تسع سنين".
Tafsiri:
Aisha alisema: “Mtume wa Mwenyezi Mungu alinioa nikiwa na umri wa miaka sita, na alihitimisha ndoa nami nilipokuwa na umri wa miaka tisa.”
Mnageuzwa mandondocha na wajanjawenu na nyinyi mkakubali
Hauna haja ya kuhangaika Kwa sababu hakuna mtu atakayekulazimisha uwe Muislam na Wala Allah hataki watu waingie katika uislam Kwa kulazimishwa
We endelea tu kuishi katika ukafiri wako usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanamu
Quran 2:256
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.