Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

Sheikh mtu kachukuliwa mateka, kapelekwa utumwani, mumewe kauawa.,wazazi wake wameuawa, hana mbele wala nyuma. AKATE KUOLEWA NA MUHAMAD KWELI? ameshaona kilichotokea kwa WAZAZI WAKE, MUMEWE NA NDUGUZE? na imani hata wewe ungekubali kuolewa Yeshe.
Mimi ni mwanaume siwezi kuolewa, basi kama ni hivyo hakulazimishwa kama unavyotaka kutudanganya hapa, hana mbele wala nyuma kivipi na jamaa zake wapo?.
 
Kama kweli alikuwa “huru”, basi uhuru huo ungetakiwa uanze kwa heshima ya haki zake za msingi—ikiwa ni pamoja na kutomchukua mateka baada ya vita. Huo ndio msingi wa hoja yangu,tukitumia mizani ya maadili ya sasa.

---
1. Kumchukua mateka ni uvunjaji wa uhuru wake tayari

Unapomchukua mwanamke mateka:

Unamtoa kwa nguvu katika jamii yake

Unamuweka kwenye hali ya kutegemea watu waliomshinda

Unamnyang’anya uhuru wa msingi wa kuchagua

Halafu baadaye ukamwambia, “nimekuacha huru, chagua unachotaka,” tayari huo si uhuru wa kweli—bali ni chaguo lenye kushinikizwa na mazingira ya kutokuwa na msaada wala njia mbadala.

Kwa hiyo:
Hata kama alipewa nafasi ya kuchagua baada ya hapo, chaguo hilo lilikuwa ndani ya kuta za udhaifu na kujeruhiwa kiakili. Hakukuwa na usawa wa uamuzi.

---

2. Kama angekataaa nini kingemtokea?

Hili halijasemwa wazi na vyanzo, lakini:

Kama angelikataa kuolewa na Muhamad, bado angekuwa mateka, au labda angepewa mtu mwingine.

Kusema kweli, hakukuwa na mfumo rasmi wa kuwahifadhi wanawake mateka waliokataa ndoa—isipokuwa Mtume angemtunza kwa hiari, kitu ambacho hakikuhakikishwa kwa wote.

Hii inaonesha wazi kuwa Safiya alikabiliwa na chaguo la “ndoa au kutupwa,” si “ndoa au maisha ya uhuru kamili.” Na hiyo si “hiari” kwa maana ya kweli.
Kwahyo tukae hapa kujadili isingekuwa hivi ingekuwa vile?! ninachokisema ni kuwa alimwambia kama hutaki uislamu nakuacha huru urudi kwa jamaa zako, ama kuchukuliwa mateka ni utaratibu wa vita na unafahamika.
 
Maandiko ya Kiislamu yanathibitisha kwamba baba na mume wa Safiyya bint Huyayy waliuawa wakati wa vita vilivyoongozwa na Mtume Muhammad (SAW).

Baba wa Safiyya: Huyayy ibn Akhtab

Huyayy ibn Akhtab alikuwa kiongozi wa kabila la Kiyahudi la Banu Nadir. Baada ya kushindwa kwa Banu Qurayza katika Vita vya Handaki (627 CE), Huyayy alikamatwa na kuuawa pamoja na wanaume wengine wa kabila hilo. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Mume wa Safiyya: Kenana ibn al-Rabi

Kenana ibn al-Rabi alikuwa mume wa Safiyya na mtunza hazina wa Banu Nadir. Baada ya ushindi wa Waislamu katika Vita vya Khaybar (628 CE), Kenana alikamatwa na kuteswa ili kufichua mahali pa hazina ya kabila lake. Alipokataa kutoa taarifa, aliuawa kwa amri ya Muhammad. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Baada ya kifo cha Kenana, Safiyya alichukuliwa mateka na baadaye kuolewa na Mtume Muhammad. Maelezo haya yanapatikana katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, kama "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq na "Tarikh al-Tabari" ya al-Tabari.
Kwani si ndo nimekueleza hapo juu kuwa waliuwawa katika vita vya khaybar? au ukileta gazeti refu ndio itamaanisha nini.
 
MIMI KAFIR TU KAMA WEWE ULIVYO. SEMA NIMEKUZIDI MIMI NINA ILIMU WEWE NI KAFIR MAAMUMA. MIMI NI WATU WA KITABU. UJE UPATE MADINI KWANGU.

maandiko ya Kiislamu yanathibitisha kwamba baba na mume wa Safiyya bint Huyayy waliuawa wakati wa vita vilivyoongozwa na Muhammad.

Baba wa Safiyya: Huyayy ibn Akhtab

Huyayy ibn Akhtab alikuwa kiongozi wa kabila la Kiyahudi la Banu Nadir. Baada ya kushindwa kwa Banu Qurayza katika Vita vya Handaki (627 CE), Huyayy alikamatwa na kuuawa pamoja na wanaume wengine wa kabila hilo. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Mume wa Safiyya: Kenana ibn al-Rabi

Kenana ibn al-Rabi alikuwa mume wa Safiyya na mtunza hazina wa Banu Nadir. Baada ya ushindi wa Waislamu katika Vita vya Khaybar (628 CE), Kenana alikamatwa na kuteswa ili kufichua mahali pa hazina ya kabila lake. Alipokataa kutoa taarifa, aliuawa kwa amri ya Muddy aka Muhammad. Tukio hili limerekodiwa katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, ikiwemo "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq.

Baada ya kifo cha Kenana, Safiyya alichukuliwa mateka na baadaye kuolewa na Muhammad. Maelezo haya yanapatikana katika vyanzo vya kihistoria vya Kiislamu, kama "Sirat Rasul Allah" ya Ibn Ishaq na "Tarikh al-Tabari" ya al-Tabari
We kijana unajisumbua katika makafiri ambao walitaka kupinga utume wa Muhammad wewe hauwafikii hata chembe walikuwa maarufu kuliko wewe. Walikuwa matajiri kuliko wewe na walikuwa na akili kuliko wewe na wameshindwa itakuwa wewe kikafiri kidogodogo

Wewe utaishia kuwadanganya wagalatia wenzanko humu tena ni wale vilaza kama wewe

Wewe hapo haujaweka hadithi ila umeweka maelezo ya mtu anailezea hiyo hadithi hayo ni maelezo ya mgalatia mwenzako na Wala sio ya Muislam
Ikopy na kuipest hiyo hadithi from original source alafu iweke hapa tuone kama itafanana na hayo maelezo yako

Huyo aliyekudamganyeni kuhusu hiyo hadithi mbona hajasema kuwa huyo myahuhud alipoenda kumuona mtume Kwa mara ya kwanza alipo Rudi nyumbani kwake alimwambia Binti yake kuwa

Kweli Muhammad ndio mtume aliyetabiriwa na manabii waliopita lakini Mimi sitomfuata Wala kumkubali Kwa sababu hajatokana na makabira yetu ya kiyahudi

Huyo myahuhud alikuwa na elimu kuliko wewe ndio maana alijua kuwa Muhammad ni mtume wa kweli kwahiyo yeye ataenda Jahanamu Kwa kiburi chake

Ila wewe utaenda Jahanamu Kwa ujinga wako na umbumbu wako

Na kibaya zaidi kwako umezaliwa umekuta Muhammad ni mtume wa Mungu na utakufa utaacha Muhammad ni mtume wa Mungu
 
We kijana unajisumbua katika makafiri ambao walitaka kupinga utume wa Muhammad wewe haufakii hata chembe walikuwa maarufu kuliko wewe. Walikuwa matajiri kuliko wewe na walikuwa na akili kuliko wewe na wameshindwa itakuwa wewe kikafiri kidogodogo

Wewe utaishia kuwadanganya wagalatia wenzanko humu tena ni wale vilaza kama wewe

Wewe hapo haujaweka hadithi ila umeweka maelezo ya mtu anailezea hiyo hadithi hayo ni maelezo ya mgalatia mwenzako na Wala sio ya Muislam
Ikopy na kuipest hiyo hadithi from original source alafu iweke hapa tuone kama itafanana na hayo maelezo yako

Huyo aliyekudamganyeni kuhusu hiyo hadithi mbona hajasema kuwa huyo myahuhud alipoenda kumuona mtume Kwa mara ya kwanza alipo Rudi nyumbani kwake alimwambia Binti yake kuwa

Kweli Muhammad ndio mtume aliyetabiriwa na manabii waliopita lakini Mimi sitomfuata Wala kumkubali Kwa sababu hajatokana na makabira yetu ya kiyahudi

Huyo myahuhud alikuwa na elimu kuliko wewe ndio maana alijua kuwa Muhammad ni mtume wa kweli kwahiyo yeye ataenda Jahanamu Kwa kiburi chake

Ila wewe utaenda Jahanamu Kwa ujinga wako na umbumbu wako
Muddy kafir kama wewe ulivyo kafir na mimi nlivyo kafir. Tumekutana makafir watatu. Na kiongozi ni braza muddy tapeli
 
Muddy kafir kama wewe ulivyo kafir na mimi nlivyo kafir. Tumekutana makafir watatu. Na kiongozi ni braza muddy tapeli
Wewe pekee yako ndio kafiri Kwa sababu

Hauna dini maana ukristo sio dini

Hauna Mungu maana Yesu sio Mungu

Hauna kitabu Kwa sababu Wagalatia, wakolitho, warumi, Tito sijui Efeso sio vitabu vya Mungu

Hauna mtume maana Paulo sio mtume

Hauna nyumba ya ibada maana kanisa sio nyumba ya ibada ndio maana Yesu hajawahi kufanya ibada ndani ya nyumba inayoitwa kanisa

Yani mpo mpo tu Kila kitu kwenu ni fake
 
Wewe kafir na mtume wako sababu
1. Alibaka kitoto
2. Aliua watu
3. Alinyonya ulimi watoto wa kiume
4. Alipora mali
5. Alikuwa anapandwa na majini
6. Alikuwa tapeli

KAFIR PRO MAX. KAFIR PRO MAX KAFIR KAFIR NA WEWE MFUASI KAFIR KAFIR KAFIR
 
Kafir, Bakaji.
Huu hapa ni mstari husika kwa Kiarabu kutoka Sahih al-Bukhari, Hadith Na. 5133:

حدثني محمد بن يوسف حدثنا سفيان عن هشام عن أبيه عن عائشة قالت: "تزوجني النبي صلى الله عليه وسلم وأنا بنت ست سنين، فقدمنا المدينة، فنزلنا في بني الحارث بن خزرج، فوعكت فتمرق شعري، فوفى جميمة، فأتتني أمي أم رومان وإني لفي أرجوحة ومعي صواحب لي، فصرخت بي، فأتيتها لا أدري ما تريد بي، فأخذت بيدي حتى أوقفتني على باب الدار، وإني لأنهج حتى سكن بعض نفسي، ثم أخذت شيئا من ماء فمسحت به وجهي ورأسي، ثم أدخلتني الدار، فإذا نسوة من الأنصار في البيت، فقلن: على الخير والبركة وعلى خير طائر، فأسلمتني إليهن، فأصلحن من شأني، فلم يرعني إلا رسول الله صلى الله عليه وسلم ضحى، فأسلمتني إليه، وأنا يومئذ بنت تسع سنين".

Tafsiri ya kipande muhimu:

"Alinioa Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani zimshukie) nikiwa na umri wa miaka sita, na aliishi nami (kuhusu ndoa) nilipokuwa na miaka tisa."
 
Siku nyingine uwe unasoma acha uvivu hivi vitu vya kawaida bora Mohamadi alioa kwa tende na Samli kuna hawa hapa sasa😀
Mshamuulia wazazi wake na ndugu zake vitani hiki ndio anapata kama mateka wa kike
KUMBU LA TORATI 20 : 10-13

10-Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na Bwana, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo MATEKA,

11-ukaona kati ya mateka MWANAMKE mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;

12- ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye ATANYOA kichwa, AKATE na kucha;

13-avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.

Mahari kunyoa nywele na kukata kucha
Mkuu hiyo namba 13 mtume alifanya?
 
Kabisa na Mungu akakataa Daudi asijenge hekalu lake sababu amejawa damu za watu. Na alipewa adhabu kwa kosa hilo la kihuni na kimalaya.
Kwahiyo unatuambiaje kuhusu mtume wetu ambaye pamoja na mauaji hayo bado akaujenga uislam!? Au Uislam lilikuwa wazo lake tu na si kazi aliyopewa na Mungu?
Kama Daudi alikatazwa kujenga hekalu kwa kosa la kuwa na damu mikononi (mauaji) basi hata mtume wetu kama kweli kuujenga uislam ingekuwa kazi ya Mungu asingeruhusiwa.
 
Kwa nini wakiristo hamsujudu na nani aliwaamrisha kupiga disco kanisani na kukata mauno ?
Daudi aliimba na kucheza mbele ya sanduku takatifu la agano.
Hata hivyo ni baadhi ya madhehebu tu yenye utamaduni huo wa kuimba na kucheza mengine kama Roma Catholic hayana huo utaratibu japo siyo kosa.
 
@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Huu siyo uzi wa kashfa wala dhihaka, ni uzi wa elimu watu waijue dini yao.
 
Mkuu hiyo namba 13 mtume alifanya?
Hoja ya msingi hapa ni kuwa huyo mwanamke hana maamuzi kwasababu ni mateka wa kivita , anae mmiliki akiona anafaa kuwa mke hakuna cha mahari wala kuona wazazi wake, maana kimsingi hiyo namba 13 inaonyesha wazazi wake wali uliwa na huyo huyo muisrael anaetaka kumfanya mke huyo mateka, ndio maana anakaa matanga
 
Wewe kafir na mtume wako sababu
1. Alibaka kitoto
2. Aliua watu
3. Alinyonya ulimi watoto wa kiume
4. Alipora mali
5. Alikuwa anapandwa na majini
6. Alikuwa tapeli

KAFIR PRO MAX. KAFIR PRO MAX KAFIR KAFIR NA WEWE MFUASI KAFIR KAFIR KAFIR
Mimi si ndio nilikuita kafiri Kwa Nini usirudishe Kwangu unamuingiza na mtume Muhammad

Mbona inaonekana una chuki sana na mtume Muhammad amekufanya Nini kwani?

Au wewe ni kafiri kweli maana kazi ya makafiri ni kutukana manabii wa Mungu

Sisi waislam
Na Ibrahim ni dam dam
Na Isaka na Yakobo ni dam dam
Na Musa ni dam dam
Na Daudi ni dam dam
Na Suleiman ni dam dam
Na Zakaria ni dam dam
Na Yohana mbatizaji ni dam dam
Na Mariam ni dam dam
Na Yesu ni dam dam

Yani hao wote hakuna mahali ambapo tunapishana

Sasa nyinyi wagalatia mnashida gani na manabii ?

Au chuki mliyopandikizwa na Warumi kuhusu manabii wa Mungu imekuingieni

Jahanamu inakusubirini maana Allah ameapa anaweza kusamehe makosa yote ila kosa la kukiabudu kiumbe alichokiumba mwenyewe hilo kosa halina msamaa Sasa wewe endelea tu kumuabudu Yesu
 
Suala la kujipendekeza hilo tumelizoea ni sababu hamjiamini. Wakristo wanawakana kuanzia Muddy na hata hUYO issa wenu hawamtambui bakinin naye nyie.
UKAFIR MKUBWA NI KUOA MTOTO WA MIAKA 6 NI UKAFIR WA KIWANGO CHA SHETANI.

Sahih al-Bukhari, Hadith 3894 (Kitab al-Maghazi):

حدثني محمد بن المثنى، حدثنا عبد الوهاب، حدثنا أيوب، عن هشام، عن أبيه، عن عائشة، قالت: "تزوجني النبي صلى الله عليه وسلم وأنا بنت ست سنين، وبنى بي وأنا بنت تسع سنين".

Tafsiri:
Aisha alisema: “Mtume wa Mwenyezi Mungu alinioa nikiwa na umri wa miaka sita, na alihitimisha ndoa nami nilipokuwa na umri wa miaka tisa.”
 
Kwahiyo unatuambiaje kuhusu mtume wetu ambaye pamoja na mauaji hayo bado akaujenga uislam!? Au Uislam lilikuwa wazo lake tu na si kazi aliyopewa na Mungu?
Kama Daudi alikatazwa kujenga hekalu kwa kosa la kuwa na damu mikononi (mauaji) basi hata mtume wetu kama kweli kuujenga uislam ingekuwa kazi ya Mungu asingeruhusiwa.
Msingi mkuu wa uisilamu ni umwagaji damu za watu wengine na mauaji.
 
Back
Top Bottom