Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa makubwa kufidia gharama zao.
Kwanini na yasema hayo..
Twendeni pamoja ndugu zangu.....
KATIKA BIBLI
Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoileta, hata iwe kubwa kiasi gani, nami nitawalipa chochote mtakachodai. Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.”
Mwanzo 24
3 nami nitakuapisha kwa Bwana, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;
14 basi na iwe hivi; yule msichana nitakayemwambia, Tua mtungi wako, nakuomba, ninywe; naye akasema, Unywe, nami nitawanywesha na ngamia zako pia; basi huyu na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka; na kwa hayo nitajua ya kuwa umemfadhili bwana wangu.
15 Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Ibrahimu, naye ana mtungi begani pake.
16 Naye yule msichana alikuwa mzuri sana uso wake, bikira, wala mwanamume hajamjua bado; akashuka kisimani, akajaza mtungi wake, akapanda.
28 Basi yule msichana akapiga mbio, akawaambia watu wa nyumba ya mama yake mambo hayo.
53 Kisha huyo mtumishi akatoa vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, akampa Rebeka; na vitu vya thamani akampa nduguye na mamaye pia.
57 Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe.
TOFAUTI YA MSICHANA NA MWANAMKE
1: Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu
Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yake sehemu za kiunoni na mabegani yanakuwa kubwa, sauti na sura huwa nzuri inayovutia na anaanza kuwa na hedhi.
2: Mwanamke ni mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa maana anafaa kuwa mke. Ndiyo sababu kwa kawaida anaitwa hivyo aliyefikia utu uzima au walau amebalehe.
Kabla ya hapo huwa anaitwa mtoto wa kike, binti, mwanamwali au msichana.
Baada ya kuzaa anaitwa kwa kawaida mama, jina lenye heshima kubwa katika utamaduni wa aina nyingi.
Ukijiuliza sana msichana anakua bikra , hajamjua mwanaume bado , mwenye aibu sana na anakua hana mambo ya kiutu uzima tofauti na wanawake
Sasa jiulizeni je, mahari mnalipia wanawake au wasichana kama ilivyo amriwa maana katika uzao huu wa nyoka wanawake ni wengi sana kuliko wasichana.
Nb. Ukikosa msichana wa kuoa kamwe usilipe mahari