Habari wakuu,
Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma shule ya msingi alikujaga DSM kusoma chuo, sasa alimaliza akapata kazi huko huko dsm, huwezi amini...