mahojiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa mahojiano lakini wenzangu kama watatu hivi wao wamepangiwa mpaka usaili wa oral. Naombeni msaada...
  2. Joan lewis

    Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  3. N

    KUMEKUCHA! KUMEKUCHA WALIMU WAPYA.

    KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
  4. T

    Pre GE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  5. S

    Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  6. G

    East Africa Radio kwanini mlikatisha mahojiano na Mzee Bantu?

    Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita. Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi...
  7. M

    Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  8. Ileje

    Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

    Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye...
  9. Msitari wa pambizo

    Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  10. Mtoa Taarifa

    Gachagua aitwa kwa mahojiano kwa DCI, Ulinzi waimarishwa

    Usalama katika makao makuu ya DCI katika Barabara ya Kiambu umeimarishwa huku Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua akitarajiwa kujitokeza kuhusiana na madai ya majaribio kadhaa ya kumuua. Malori ya polisi yenye vifaa vya kudhibiti umati ya watu yamewekwa nje ya boma. Security has been...
  11. B

    Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hivi karibuni alikuwa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha DW ambapo katika mahojiano Kabudi na mtangazaji Sudi walizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea Tanzania kabla ya Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga...
  12. Mindyou

    Melania Trump ataka Tshs Milioni 675 ili kufanya mahojiano na CNN. CNN yajibu mapigo!

    Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao wanahusika na uchapishaji wa kitabu chake kipya ilijibu ilitaka kiasi cha dola 250,000, zaidi ya shilingi...
  13. Erythrocyte

    Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

    Hii ndio Taarifa Mpya kutoka Mwananchi --- Ramadhan Iddi Shaaban anayedaiwa kutekwa na kuuawa kikatili enzi za uhai wake Familia ya Ramadhan anayedaiwa kutekwa, kuuawa kikatili yamlilia Rais Mwinyi. Mama yake asema ana hofu na usalama wake. “Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki...
  14. mdukuzi

    Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

    Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama. Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe...
  15. Stroke

    Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

    Wakati akihojiwa na Salim Kikeke, Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva. Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili. Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio...
  16. Mwande na Mndewa

    Mahojiano ya Lissu: Hoja tatu kuhusu Abdul kumtembelea nyumbani kwake

    Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote. 1. Kuhusu hoja ya Abdul...
  17. Escrowseal1

    Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  18. Analogia Malenga

    Assumption: Mahojiano ya wakili na Mkuu wa wiliya ya Ubungo

    Cross Examination Day; Wakili: Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu. Mkuu wa Wilaya: Shahada Wakili: Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi Mkuu wa Wilaya: Mwakilishi wa Mhe. Rais Wilaya ya Ubungo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Wilaya Wakili: Je! Unawafahamu...
  19. Yoda

    Mahojiano ya Kamati za bunge yawe yanafanyika hadharani(public hearing), media zirushe live

    Hizi kamati za bunge ambazo zimekuwa zikiita na kuhoji watu kama CAG Assad, Pascal Mayalla , Mpina na wengine wengi ni vyema sasa zikawa zinarusha live mahojiano hayo kama ambavyo inafanyika kwenye vikao vya bunge. Demokrasia halisi duniani ndivyo ambavyo zinafanya kazi zake kwa sasa, huko...
  20. Roving Journalist

    Waziri Masauni: Tutaanza kuhoji wakimbizi kutoka Burundi kwanini wanasita kurejea nyumbani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Mwakilishi wa Serikali ya Burundi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Maendeleo ya Jamii na Usalama wa Raia, Theofile Ndarufatiye (kulia), wakibadilishana Nyaraka ya Makubaliano ya Utaratibu wa Urejeaji wa Wakimbizi wa Burundi...
Back
Top Bottom