mahojiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chinchilla coat

    Rais Samia nawe fanya mahojiano na waandishi wa habari kama anavyofanya Rais Mwinyi

    Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais...
  2. beth

    Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini wanapeleka maamuzi kufanywa ngazi ya juu Ameeleza hayo katika mahojiano maalum na Jambo Tanzania...
  3. J

    Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

    Rais ni taasisi hivyo tunategemea mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ryoba atakuwa na mjadala mpana katika majadiliano yake na Rais Samia badala ya kuuliza yale yale yaliyoulizwa na mtangazaji nguli wa BBC Salim Kikeke. Ni Leo! Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
  4. U

    Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  5. A

    Mahojiano maalum na mkurugenzi wa Zoa Zoa, Dkt. Elizabeth

    MAHOJIANO MAALUM NA MKURUGENZI WA ZOA ZOA, DK. ELIZABETH Mwishoni mwa wiki, wana habari walifanya mazungumzo ya dakika arobaini na tano (45) na Mkurugenzi Mtendaji wa Grace Product Limited, watoaji wa bidhaa za Zoa Zoa, Dk. Elizabeth Kilili. Katika mahojiano hayo yaliyolenga kujua ukuaji wa...
  6. C

    Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

    Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada. Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
  7. GENTAMYCINE

    Nimemsikiliza Mzee Butiku dakika 45 za ITV na Radio One ameongea mengi, ila haya ndiyo yameonyesha kwanini Yeye ni Hazina ya Fikra Kubwa Tanzania

    1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha. 2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%? 3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao...
  8. jMali

    Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

    Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM. Hoja: Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
  9. Suphian Juma

    Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

    RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI. Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi, Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako...
  10. Mohamed Said

    Nyerere Day Baba Kabwela UNO 1955

    NYERERE DAY BABA KABWELA UNO 1955 Mwisho wa kipindi cha Aridhio TBC 1 kuanzia leo hadi Nyerere Day yenyewe wataweka kipindi kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Mtangazaji Safina Yasin.
  11. Chagu wa Malunde

    Kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake imetufumbua macho. Mahojiano ya polisi na watuhumiwa yawe yanarekodiwa

    Tuhuma za askari polisi kutesa na kupiga watuhumiwa zimekithiri hapa Tanzania. Iwe ni kwa kesi ndogo hadi kubwa linapokuja suala la kuandika maelezo ya onyo ili yatumike mahakamani, watuhumiwa wanalalamika kupigwa na kuteswa. Na baadhi yao wamepata ulemavu na hata kupoteza maisha. Kesi ya...
  12. Captain 22175

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

    Hali ya ndani ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa ni shwari Leo tumepita getini bila bugudha na hakuna polisi wa nje zaidi ya hawa maalum wa mahakama Hakika Jambo la jana kupigania haki ya mahakama na kutaka isimame kama mhimili huru ni nzuri sana Jopo la mawakili...
  13. N

    Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

    Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni. Ameendelea kuwaeleza kuwa ya...
  14. Jasusi Mbobezi

    Askofu Gwajima usitumie viti vya ukumbi wa mahojiano

    Habari za asubuhi, Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho. 1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa. 2. Viti atakavyovikuta pembeni...
  15. G

    Kwanini Mahojiano kwenye baadhi ya vyombo vya habari hayavutii?

    Habari wanajukwaa! Let's focus on our tittle ni kwamba tunaona kwa baadhi ya vyombo vya habri wanapofanya vipindi vya mahojiano tu, inakulazimu kubadili channeli maana unakosa kuvutia na unachokiona kwenye televisheni ama kukisikia kwenye redio. Swali ambalo nakosa majibu rasmi ni nani chanzo...
  16. J

    Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
  17. J

    Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi...
  18. mekuoko

    Taifa langu linateketea kwa kukosa maarifa

    Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa. Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda madaraka. Kundi hili la watawala wanawatoza watawaliwa wanyonge makodi makubwa bila kujali kama...
  19. blance86

    Dotto Bulendu: Tathmini yangu juu ya mahojiano kati ya BBC na Rais Samia Suluhu

    Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan. Na Dotto Bulendu (MwanaPuge).Nikiandika kutoka kijijini Puge. @@@@@@ BBC wamefanikiwa kuongeza umaarufu wao Kwa Siku ya jana Kwa Maana ya Idadi ya watu wanaowasikiliza na kuwatazama kupitia Vyombo vyao vya Redio,TV na...
  20. Determinantor

    Hotuba ya IGP Sirro na mahojiano ya Rais Samia yanaingilia mhimili wa Mahakama?

    Kwa kifupi hawa Waheshimiwa wameshaona hii issue haiko rafiki kwao, wanapoteza pambano mapema! Kwa hiyo wamekubaliana kuwa "waingilie" Uhuru wa Mahakama kwa ku-pre-empty public. Bahati mbaya sana kwa nature ya Mahakama zetu, haziwezi kujisimamia wenyewe. Kwahio tutegemee hukumu yenye mwelekeo...
Back
Top Bottom