Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa.
Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu.
Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC), Claud Gwandu akizungumzia kuhusu changamoto ya Maadili ya Waandishi wa Habari wa Jijini Arusha, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Arusha Women in Media, Machi 17, 2024.
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa.
Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele
Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka:
TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI
DPP...
Kipindi cha nyuma lilikuwa ni jambo gumu kuona Malaya akionyesha sura yake akiwa anahojiwa na mwanahabari, ila sasaivi limekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwani Malaya wamekuwa hawana hofu kwa jamii wala familia zao kuwa zitawaonaje.
Unahisi umalaya limekuwa jambo la kawaida kiasi kwamba watu...
https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19
-Putin anajua historia sana
-Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika
-Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi
-Putin hataki kuivamia Poland...
Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu.
Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha...
RAIS KWA MASAA MAWILI ANATETEA SERA ZAKE KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI
Katika mahojiano mubashara, rais ameamua kuongea na waandishi wa habari wa vyombo tajwa ili kuelezea mikakati anayokusudia kukamilisha bila kutegemea msemaji wa serikali kufafafanua bali kuonesha yeye kama rais anaongea...
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"
“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika.
“Nitoe mfano iliwahi...
Kama mwandishi wa habari huru nilikua nachunguza viini vya migogoro katika maeneo ya ukanda huu wa maziwa makuu.
Nilibahatika kufanya mahojiano ya kina na washirika wa iliyokua serikali ya Rwanda kabla ya kupinduliwa mwaka 1994.
Watu wengi hawawezi kujua kua,karibia majenerali wote wa iliyokua...
Angalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.
Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.
pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.
Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili...
Yafatayo ni mahojiano na Miko Peled.
Mwanaharakati Myahudi wa Israel na Marekani Miko Peled anaelezea kile Israel inakifanya na kwa nini wanafanya hivyo. Pia anaelezea baadhi ya historia yake na mazingira yasiyojukana na wengi yanayozunguka Israeli na Palestina.
Miko Peled ni mwandishi...
MAHOJIANO NA MOHAMED VALL WA AL JEZEERA 2007
Jana nilikuwa naangalia Al Jazeera yanayotokea Gaza mara nikamuona mtangazaji wa Al Jazeera, Mohamed Vall anatangaza habari za vita hivi.
Mohamed Vall akanikumbusha mahojiano tuliyofanya nyumbani kwangu Dar es Salaam na Tanga kati ya mwaka wa 2007...
Katika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi Mohamed Said anaangalia mchango wa waislam katika harakati za kuleta uhuru wa Tanganyika. Je waislam ndio walioanzisha TAA na...
Wanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti...
Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.