Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake.
Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
Hiki kisa nimekichukua FB asee
Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu.
Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
Hello,
Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa...
umekatiza zako kitaa mara pap unamkuta manzi kasizi mahal analia et hana sehem ya kulala 🤭 ukichec ni bonge la pis unaamua kujibless unaenda nae geto then unajiweka kwa sofa yeye kitandan usiku anakuomba ulale kwakitanda na mchongo ukule utakubali ?
Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia.
USSR
Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto.
Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango.
Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake.
Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa.
Sent from my TECNO...
Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo. Ila kama mwanamke uliyenaye ana rekodi nzuri ya kudanga, na hajabadilika basi ukae tayari...
Wakuu wasalaaam,
Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu.
Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja.
Umri wangu ni 38.
Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa.
Nawasilisha.[emoji119]
Hello Wana JF,
Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu.
Sifa ya Eva ninaye mtaka;
~ Awe na umri 28-35.
~ Elimu siyo kipaumbele changu.
~ Dini yeyote
~ Kabila lolote.
~ Akiwa na mtoto haina shida...
Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua.
"Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe."
Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
Hello mambo JF Crew!!
Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
Najua hali ni mbaya sana hamna haja ya salamu
Wakuu nimesoma nyuzi nyingi na nimezungumza na watu wengi nimegundua kuwa kuna asilimia kubwa ya watu wapo kwenye mahusiano lakini mahusiano hayo ni Toxic
Acha wale wenzetu wa kuchukua sheria mkononi, wale wa kuangalia video za porn na wale...
Kwa kawaida upendo wa kweli huwa unajiendesha wenyewe hauhitaji kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu. Kuwa na hakika kuwa hupendwi💔!!
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.
Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?
Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.