mahusiano

  1. KIDUME20

    Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha

    Wakuu za sahizi Tuendee direct kwenye mada... Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI - huyu ni mbibi wa miaka 57 tarehe x/7/2023 anatarajia kufunga ndoa mkoa x na muosha magari. Inaanza...
  2. Equation x

    Uchache wa wanaume halisi, unasababisha wadada kugombania mahusiano.

    Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia. Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote niliyoweza kuyaona katika hii dunia. Katika kuangaza angaza macho, ndipo nilipoweza kumuona mrembo mmoja...
  3. Equation x

    Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

    Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa. Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea. Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila...
  4. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume, kitu muhimu kwenye Mahusiano ni kumuongoza Mwanamke

    Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza. Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
  5. Sultan MackJoe Khalifa

    Nini kilichosababisha gharama za internet kupanda? Mkongo wa taifa hauna mahusiano na kupanda au kushuka kwa internet?

    Ilikua hivi 👇 1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days. sasa ni 👇 MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/= Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha. Ila kwa...
  6. ONJO

    Kanuni ya kutoa inatutesa kwenye mahusiano yetu

    Habari zenu wakuu, itifaki imezingatiwa Ndugu zangu jua lilikuwepo tangu zamani na mpaka sasa hivi tunaona uwepo wake. Mwezi ulikuwepo tokea zamani mpaka sasa tunauona mwanga wake. Mvua ilikuwepo tokea zamani nayo inanyesha nyakati zetu. Tokea zamani mvua,mwezi na jua vilifanya kazi yake...
  7. DR HAYA LAND

    Ushauri: Maisha ya mahusiano yanahitaji Mwelekeo na sio haraka

    Advice Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa What I need to say. Maisha sio leo ni Kesho Kama asemavyo Mkuu Mshana Jr mentor wa vijana wa TANZANIA. Wakati wa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

    Kwema Wakuu! Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe...
  9. ONJO

    Fikiri tena kuhusu mahusiano

    Habari zenu! Kama isemavyo hapo juu... Enyi vijana na wazee ni nani aliyewaroga? Ingefaa wanyama waendelee kuishi hapa Duniani na nyinyi kupuuzwa kabisa!. Hata sasa hamjafikili bado?Mahusiano yenu na wake/ume zenu yako sawa? Kwakuwa mnazo akili kuliko wanyama nitawafikirisha kidogo lakini...
  10. Equation x

    Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
  11. Balqior

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake?? Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
  12. Chizi Maarifa

    Akumbukwe Diego Maradona. Mwanzilishi wa kujichukulia sheria Mkononi. Mahusiano yanatesa sana

    Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka? Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
  13. Equation x

    Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

    Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa. Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano. Wengi wao wanatoa ahadi...
  14. Hemedy Jr Junior

    Mahusiano, visa na mkasa

    1. Mwanaume ukionesha unampenda sana mwanamke, mwanamke ataanza kuleta visa kisa anajua unampenda ila siku ukibadilika Mwanamke atasema Mme wangu sikuelewi mbona siku hizi umebadilika. 2. Huwezi kuona umuhimu wakitu kwa ukubwa mpaka kiondoke, ndo walivyo wanadamu wote sio mwanAmke au...
  15. KAGAMEE

    Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

    Wakuu habari zenu, Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi. To make story short...
  16. reymage

    Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

    Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema. Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi...
  17. Infinite_Kiumeni

    Jinsi ya kuwa na aina ya Mahusiano unayoyataka na Mwanamke

    Unaweza kuwa kwenye mahusiano lakini si vile unavyotaka. Unaweza ukawa unanyimwa unyumba. Au mwanamke anakuendesha. Au unasalitiwa mara kwa mara. Au mwanamke king’ang’anizi wa vitu. Au mwanamke anataka kukubadili misimamo yako kila muda. Na hali hiyo ikawa inajirudia kwa kila mwanamke unayekua...
  18. S

    Sababu kubwa ya wanawake kuhangaika na mahusiano

    Wanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling. Aliyewasukuma kuchumbiana na kulala na wanaume tofauti tofauti kabla ya ndoa aliwaharibu sana. Mmebeba mizigo mingi kutoka kwa...
  19. Sea Beast

    Unakuwa na mahusiano na mwanamke mpaka unawaza kuoa unakuja kujua baadae kuwa ulikuwa unaingia chaka, weka kisa

    Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani. Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
  20. P

    USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

    Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu. Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa...
Back
Top Bottom