Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho.
Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa usababishwa na hawa wadada wanaojiita /wanaojiona ni warembo kweli kweli.
Huwa wanawacha wapenzi wao kwa...
Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe.
Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka.
Najua wengi tunatafuta ajira pia...
Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu.
Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa...
Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.
Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili...
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.
Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga.
Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia...
Habari wanajamii,
Hili suala sasa limekuwa likinitatiza sana na kunipa hofu sana kwa kipindi kirefu mno sana.
Hapo awali nilikua na mahusiano na binti flani hivi na tulipendana sana katika mahusiano yetu, Kila mmoja alimweshimu na kujali hisia za mwenzake hata ilifikia kuamua kuishi pamoja kwa...
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani.
Na anaposema ana...
Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri
Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
Katika Ulimwengu wa Utandawazi wasanii wamebahatika kuwa na uwanja mpana sana wa kuzitangaza
Kazi zao, na moja ya karata muhimu ni mahusiano. Hii hutumiwa na wengi sababu ya urahisi wake (haina gharama).
Ukizingatia muziki, ndiyo kwanza matunda yameanza kuonekana hapa kwetu, tofauti na nchi...
Huwa nachoshwa sana na watu wanaotaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano lakini cha kwanza wanaangalia Kabila la mtu kwa kuamini kabisa kuwa kabila Fulani Wana tabia hizi na hizi.
Bila kupepesa macho NALIA NGWENA napinga hoja hiyo kwani Haina mantiki kwani Tabia ni tofauti kabisa na kabila la...
Kama hujamfata kuongea naye.
Kama hupeleki mahusiano mbele.
Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka.
Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa.
Zile sababu kama “atakua bize”/ “atakua na mtu wake”/ “mi sitokagi na wanawake aina yake”/ “sina mstari...
Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.
Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
Hello hello Family! Wasalaam?
Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi.
Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
bado
bila
chupi
dating
father
from
gharama
hali
harusi
hawana
hawapendi
haya
hii
huruma
idadi
jamaa
kipindi
kuitwa
kukataa
kuliko
kuoa
kuoa single mother
kuongezeka
kuwepo
like
mahusiano
mambo
mara
mkubwa
mpenzi
mtu mwingine
mwanamke
mwanaume
naombeni
ndoa
shida
single
single mother
single mothers
singo
taifa
tatizo
tena
tuendelee
uchunguzi
ufahamu
ukweli
umekuwa
ushauri
vijana
waje
wakati
wanaume
wao
wataendelea
watatu
watoto
watoto watatu
waume
where
zamaradi
Achana na msemo kuwa "anakujaribu". Kama umejitahidi lakini yeye haoneshi kujali mahusiano, ujue unapoteza muda wako. Unatumika tu kupoteza muda. Pengine ana bwana wake anayempenda zaidi yako na anamjali kuliko wewe. Wapo wanawake ambao hawakukubali hata kama wewe ndiwe ungekuwa mwanaume pekee...
Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo.
Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo.
Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and...
Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake.
Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume.
Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa.
Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo. Atakutumia tu. Akishapata anachokitaka atakuacha, unabaki na maumivu.
Utamjuaje? Dalili kubwa ni hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.