mahusiano

  1. Money Penny

    Nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nifanyaje?

    I know, it has been a minute Bado nimekuta maswali mengi inbox after been gone for 3 years Sasa kuna MTU kakwama anaomba atolewe shimoni; MTU: da penny, nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nataka kurudi kwenye game Naanzaje? Inakuwaje? Naanzia wapi? Haya wapendwa naomba mumsaidie kijana...
  2. Hyrax

    Kuhangaika na Mahusiano ya Kimapenzi katika zama hizi ni kupoteza Muda

    Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha. Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
  3. Myebusi Mweusi

    Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  4. Equation x

    Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

    Kutokana na utandawazi, karibia robo tatu ya warembo kwa nyakati hizi huwa wanavaa shanga kiunoni au ata miguuni; wao wanaita urembo. Ingawa wao wanavaa wakiamini, huwa zinawapendezesha na pia uwavutia wapenzi wao pale wanapokuwa au wanapohitaji kuwa kwenye mahusiano. Mara nyingi warembo...
  5. M

    "May be it's my fate..." kauli kama hii ina maana gani?

    Wakuu nawaamkua. Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya. Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu. Ninakuja na swali hapa...
  6. BARD AI

    Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  7. Roca fella

    Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  8. N

    SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  9. AIZZY

    Mahusiano mtoto wa kike

    Habari ya mda huu!! Nina swali la kuhusu mahusiano kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
  10. Von_Lufuta

    Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

    Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika ile familia, naweza kumpa credit mama yao kwa kufyatua watoto wazuri kupita maelezo pale mtaani...
  11. KASHAMBURITA

    Mapenzi kweli yalikuepo zamani

    Unakijua kisa cha Leyla na Majnun (mapenzi bikra)? Leyla na Majnun ni kisa maarufu duniani kilichotokea kweli katika Uarabuni, na kwa kisa hiki kimepelekea kutungiwa mashairi mbali mbali duniani. Wengine hukiita kisa hiki kama "Romeo na Juliette wa Mashariki," ni kisa chenye mafunzo kwa...
  12. Good-bye

    Katika mahusiano ogopa sana watu hawa

    Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/ mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana. Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu. Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
  13. Econometrician

    Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

    Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu. Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
  14. sky soldier

    Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

    Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy. Kwangu mimi: 1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni turn off kwangu, off course inaweza kuwa ni wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake, wateja, n.k. lakini...
  15. Surya

    Siri 6 (sita) za kuwa na mahusiano mazuri.

    6 secret code Ugomvi mkubwa katika kila mahusiano ni kushindwa kushirikiana, na sababu ni umimi au ubinafsi ambao utachukua mimba na mimba ikiisha kukomaa huzaa Magonvi makubwa na mwisho kutengana. Onyesha uzuri wako na umalidadi wako utapendwa na kila mtu, muovu na apendane na muovu mwenzie...
  16. Tizzo G

    SoC03 Wanafunzi wa kike mwaka wa kwanza kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada. Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
  17. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  18. Nyuki Mdogo

    Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

    Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima? mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
  19. M

    Kwanini ubakaji unaendelea?

    Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe vizuri ukinyimwa tafuta mwingine. Wengine wanafikia hatuna ya kubaka watoto wadogo au vizee, hii ni...
  20. B

    Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
Back
Top Bottom