Habari Wana Jamii Health. Siku Ya Jana Nimejikata Na Wembe Wakati Nikijaribu Kuutupa Ili Usije Dhuru Mtu. Hapa Karibu Kuna Watu Wameathirika, nimejawa na Uwoga Napataje PEP?
Masaa Yanayoyoma Kuelekea 72 Hii Ni Saa Ya 36. Nipo Dar Es Salaam. Upatikanaji Wake Ukoje
Naombeni ushauri wakuu.
Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.
👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu...
Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa.
Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine.
Kwa kawaida nikiwa kijiweni(golini) kukusanya maokoto lazima nipitie sehem na mabest zangu kupata savanna 2...
Wakurungwaaa najeee?
Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako.
Je, kuna faida au hasara...
Kwema Wakuu!
Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima.
Nipende nikuonyeshe upendo maradufu.
Nijali nikujali.
Niheshimu nikuheshimu.
Niletee upuuzi alafu...
Habari wanajf
Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na...
Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita...
Natumai mko poa wana jamvi, Sasa Niende moja kwa moja kwa Mada tajwa hapo juu. Watu wa aina hii ni lazima uwaepuke katika kuingia nao kwenye mahusiano au kufanya nao urafiki wa ndani sana kiasi kwamba Kila jambo lako waweza mueleza.
Watu wenyewe ni wa aina hii
1. Mtu ambaye hukufanya ujihisi...
Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri
Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je...
Ulofa katika mitandao ni mwingi na ni automated kwa kuwa watu hupenda kuteka Attention
Kumekuwa na tabia ya mtu kwenye Kila reply kujaza ma emoji mengii yaisyo ya maana kuliko kile anaandika
Hali hii inathibitisha madai ya wandewa kuwa ni ya kweli Bila kupepesa macho
Mfano Uzi una misingi ya...
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema...
Habari wana JF.
Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE.
Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister.
Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.
Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu niliokuwa nao japo tupo...
Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana.
Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu.
Sasa bhana mie...
Mapenzi yanatakiwa yakupe furaha ya kimwili, akili na kiuchumi.
Sasa utakuta mtu ameingia kwenye mahusiano, ghafla uchumi unayumba; fedha hazipatikani tena, madeni yamekuwa mengi, kila kona ukipita unadaiwa.
Mara kurukwa na akili na kujikuta unaongea mwenyewe mwenyewe barabarani, ukiwa kwenye...
Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.
Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa...
Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa.
Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??
Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.