mahusiano

  1. Intelligent businessman

    Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  2. Cecil J

    Kupenda ni mara moja tu, haya mahusiano mengine nikuigiziana tu!

    ....
  3. S

    Tubadilike, wivu umepitwa na wakati kwa wanandoa na walio kwenye mahusiano

    Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa. Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili. Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima...
  4. P

    Pre GE2025 Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  5. lugoda12

    Ukishaolewa sahau habari ya busu!

    Ukishaolewa habari ya 'kiss' sahau kabisa, huo mdomo utautumia "Kugombana" 😂
  6. Selemani Sele

    Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  7. X

    Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

    GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU. 1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo. 2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka. 3. Kuwahi kufika kileleni Kila...
  8. Webabu

    Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  9. Mhaya

    Kabla ya kuingia kwenye Mahusiano tufanye uchaguzi wa Kina

    Naomba tujengane kwenye masuala ya mahusiano. Majuzi nilicheki uzi ambao watu wanasema kataa ndoa, wengine wanalaumu, wengine wanaponda ndoa na wengine wanazisifu, mimi binafsi nilijenga hoja zangu na watu wakadai nimewabomoa! Yaah! Sometimes inabidi tubomoe ili tujenge kitu imara zaidi. Fanya...
  10. ngungwangungwa

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  11. A

    Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni. Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
  12. Mr Lukwaro

    Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

    Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu. Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale yanapopungua, au kuchokana?
  13. Kiplayer

    Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

    Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka. Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
  14. T

    Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  15. R

    Mahusiano mazuri kati ya wananchi na vyombo vya dola huchochea uwajibikaji

    Kukiwa na mahusiano mazuri kati ya vyombo vya dola na wananchi kunachochea: Uimarishaji wa Uwajibikaji: Mahusiano mazuri kati ya wananchi na vyombo vya dola ni msingi wa uwajibikaji. Raia wanapohisi kuwa na uhusiano wa karibu na vyombo hivyo, wanakuwa na moyo katika kulinda usalama na kushiriki...
  16. Canabian Rasta

    Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

    Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy. No offens. Madogo yakujifinya Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui...
  17. Minjingu Jingu

    Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

    Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza tu. Ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah, akapokea simu nikamuuliza "umeona kuna...
  18. JORDAN GADI TWARINDWA

    Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

    TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya. Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
  19. BARD AI

    Ikitokea umepata Mtoto/Watoto kwenye mahusiano yako, Kati yako na Mwenzio nani atawafundisha Hesabu?

    Suala la kuwa Mzazi linakuja na mambo mengi sana, ikiwemo kuwajibika kwa Watoto, Kuwasaidia Kazi za Shule na kila kitu, sasa kwa unavyoona Mahusiano yenu hapo, nani atakuwa msaidizi wa Home Work za Hesabu kwa Watoto/Mtoto wenu? Au wote mtakuwa mnakimbia na kuwambia Watoto wamalizane kila kitu...
  20. R

    Erick Kabendera: Rais Samia “Thucydides Trap” haitakuacha salama

    Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia kulizidi nguvu na ushawishi taifa lenye nguvu. Kama wewe ni msomaji wa siasa za Nicollo Machiavelli...
Back
Top Bottom