Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Hawalogeki. Wachawi...
Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi.
Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi...
Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu:
1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu.
Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho.
Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc.
Sawa...
Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁
After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻
".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017.
Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi
Jela au Uraiani
Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms
https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe...
Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama ifuatavyo:
1. Uungu na Uumbaji:
- Wayahudi wanaamini kwa Mungu mmoja aliyeumba ulimwengu na kuwa na...
Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame...
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
Habarini za wakati huu wana jamii forums, ni matumaini yangu mu wazima, kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awafanyie wepesi.
Kuna kisa kilitokea miaka kadhaa iliyopita, nimekikumbuka nimeona nishee hapa jukwaani.
Shule ya msingi niliyosoma, mwalimu wetu mkuu ndiyo alikuwa anatufundisha...
Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili.
Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
Tupe uzoefu wa mwaka 2025 kwa siku hizi siku 64 za mwanzo.
Toka january mpaka leo, vitu gani vya manufaa au tabia gani mpya zimekusaidia / zimebadili maisha yako.
Binafsi ni ku prioritize afya yangu, kufanya mazoezi na kula vizuri.
Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu.
Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini.
Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa.
Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge.
Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.