maisha

  1. Braza Kede

    Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
  2. Msaga_sumu

    MAISHA NI SAFARI NDEFU

    Kumekuwa na msemo mmoja mali utaipata shambani,, siju moja nilikua katika safari ya kikazi japo ni kazi ya muda hapo mkoani geita,, wale wenyeji wa geita mnaelewa unakuta kikosta (daladala) kina makonda zaidi ya sita wapiga debe 6 kuna mzee akasema mnatupotezea mda shida vijana wamejazana hapa...
  3. T

    Barua ya 50 kwa ulimwengu kupotea kwa maisha ni njia nyingine ya kufa

    Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu unacho kihitaji kwa mapana yake na kufanya kwa vitendo kwasababu maisha yana upepo kila pande,upepo...
  4. Mungu niguse

    Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

    Wakuu I'm fed up with life Nimechoka na haya maisha Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block Biashara zangu wame-block Everything is down now. Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako. Maaumzi yangu...
  5. Dalali wa mjini

    Maisha ni magumu lakini sio kukimbia familia (Damu Yako)

    Habari wakuu wangu. Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake. Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili. Wee jamaa kama upo humu umezingua Sana unaacha vipi watoto wako? ni afadhali ungewaaga Tu Kwamba unaenda kutafuta Maisha...
  6. B

    CTI Yatoa Wito wa Hatua za Haraka za Sera na Utekelezaji ili Kulinda Maisha na Mapato katika Sekta ya Viwanda

    Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
  7. D

    Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  8. Madam Ritha Massawe

    CHIMBO LA VIFARANGA TANZANIA

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  9. S

    Maisha ni siri

    Maisha yana siri Kubwa sana asimilia 99.99% aliyekuzidi mafanikio kakuzidi zambi hata kama nikiongozi wa dini
  10. ngara23

    Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  11. Metronidazole 400mg

    Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

    Nina uhitaji wa mwanamke umri usiozidi miaka 30. Awe na uwezo wa kusimamia biashara, asiwe single Maza, nipo serious. Karibuni
  12. comrade_kipepe

    USIMKATIE MTU TAMAA, NI SUALA LA MUDA UNAWEZA KUA YEYOTE KWENYE MAISHA YAKO

    Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
  13. Atukuzwee

    Hii imekaaje nina upepo na nyota ila maisha yangu ni maseke?

    Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana. 1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa. 2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
  14. Rorscharch

    Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  15. Leonce jr

    Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

    Mkasa ni wa kweli kabisa Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote. Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana Basi siku moja...
  16. R

    Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

    Tupeane uzoefu
  17. dorge

    Maisha ya chuo

    Wana Jf Nilijiunga chuo kikuu cha serikali nikitokea kazini. Hii inamaanisha nilikwenda nikiwa mtu mzima umri wa miaka 35. Kwa kuwa nilikuwa mtu mzima nilikutana na watoto wadogo sana na wengine nilifamiana nao. Sikuwa mtu wa kampani. Nilipendelea kukaa peke angu. Wakati wote nimekuwa...
  18. Jack Daniel

    Hali ngumu ya maisha na tunavyoishi Kwa mazoea.

    Habari jamiiforum. Bila kupoteza muda leo tujadili hali hii ngumu ya maisha. Wakuu.maisha mtaani ni magumu,jiji la Dar es salaam ambalo pengine ndiyo kioo cha hata mikoa mingine linajumuisha watu wengi wenye vipato vya chini mno. Ukiangalia Kwa haraka haraka au ukidanganyikq na stori za...
  19. Financial Market 255

    Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  20. K

    Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

    Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi. Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani?? Mashoga Majambazi...
Back
Top Bottom