maisha

  1. Secret Star

    Madokta mnacheza na maisha yetu?

    Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush...
  2. TUKANA UONE

    Naelewa kabisa tunatafuta Maisha mazuri ila waafrika wenzetu ni kama wamefyatuka akili

    Huwa ninapokuwa napata muda na nimepumzika mara nyingi huwa napenda kufuatilia kipindi kimoja kinaitwa AIRPORT SECURITY ambacho kinapatikana katika channel ya NATIONAL GEOGRAPHIC kutoka king'amuzi Cha Dstv Kipindi hiki mara nyingi kinaangazia masuala ya usalama katika Viwanja tofauti tofauti...
  3. figganigga

    Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  4. Rorscharch

    Je, Kweli Umenasa au Umezoea Hali Ulionayo? Tafakari Kuhusu Maisha na Mabadiliko

    Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunajikuta tukihisi kama tumekwama mahali fulani—bila mwelekeo, bila maendeleo, na bila matumaini. Ni hali inayoweza kukufanya ujisikie kama dunia inasonga mbele bila wewe. Unafanya kazi kwa bidii, unafuata ratiba ile ile, lakini hakuna dalili za maendeleo...
  5. realMamy

    “Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

    Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira. Vitu hivyo ni kama...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

    1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada. 2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako. 3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu. 4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo 5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu...
  7. B

    Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
  8. S

    Usiwe pumziko la mtu aliyecheza na maisha yake

    Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora. Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa wanatafuta pumziko. aise Niseme wazi: Mwanaume usiwe pumziko la mwanamke aliyechezea maisha yake...
  9. Y

    Natafta Room yakuanzia maisha bukoba

    Habari Wana JF Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.🙏🙏 Naam Sasa ninaomba kwa alieko bukoba naomba anisaidie nipate room Moja yakukaa 🙏🙏
  10. The Burning Spear

    Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  11. chizcom

    Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

    Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja. Kuna wengine hata uhakika wa msosi hana lakini huwezi kuona wanatetereka. Ramadan ikifika wengi hulegea na wengine hujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso. Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nin?
  12. Eli Cohen

    Video inayomuonesha simba mashuhuri alieitwa scarface katika nyakati za mwisho wa maisha yake

    Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130. Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface. Alivutia sana watalii pale...
  13. A.MTALE

    Kisa katika sehemu ya maisha halisi

    Mtale Kwanini unaomba ndoo kwa huyo bimkubwa huku ndoo zimejaa ndani?. Ni swali aliniuliza mfanyakazi mwenzangu niliewahi kuishi naye kwenye nyumba moja. Kisa katika moja ya maisha halisi ya A.Mtale. Wakati nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza huko Dodoma niliajiriwa na shirika moja...
  14. Ghayo TheMongo Barbarian

    Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  15. Moto wa volcano

    Ukifanikiwa kupata tobo la maisha ruksa kuwavimbia wabaya wako

    Maisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa . Ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu wenyewe. Wanadamu ni wakatili sana kwa mtu asiye na kitu . Ukifanikiwa kuyapata maisha vimba ...
  16. Makonde plateu

    Nini maana ya maisha?

    Wakuukwanza niseme nakushukuru sana kwa JamiiForums haswa inaleta exposure watu tunapona kimya kimya kwa maana siku niliyojiunga sikulala ni kama nilikesha natafuta hizi parts nasoma mpaka nikajikuta najiahidi kujileta kwako Kitu niligundua tangu nikufatilie ni uko very so down to earth not...
  17. Mr Ballo

    Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  18. Eli Cohen

    Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  19. M

    Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

    Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo. Galatians 5:22-23 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo...
  20. Bushmamy

    Hali ngumu ya maisha ya nyumbani ndo ilisababisha mwanafunzi kutaka kuacha shule

    Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
Back
Top Bottom