maisha

  1. Mwachiluwi

    Ndoa ilimpa kilema cha maisha binti

    Sehemu 1 Naitwa Mamujee, ni mzaliwa wa Musoma. Sijabahatika kusoma sana, niliishia kidato cha pili sababu ya kukosa mtu wa kunisomesha pindi tu nilipofiwa na baba yangu. Mama yangu alifariki kitambo sana tangu nilipokuwa darasa la nne. Baba yangu alipofariki tu, mimi nikachukuliwa na shangazi...
  2. Braza Kede

    Tukumbushane maisha yalivyokuwa kabla ARV hazijaanza kutolewa

    - Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza. - Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake...
  3. M

    Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

    Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
  4. Damaso

    Mwanaume ni sababu zipi zinakufanya ushindwe kabsa kuwa sehemu ya maisha ya mtoto wako?

    Kama mwanaume, inakuwaje unakubali na kuamua kuwa watoto wako walelewe na mke wako pekee na si wewe pia kama baba katika familia? Nadhani ni muhimu kuuliza, kwa nini mwanaume angeweza kuchukua maamuzi ya kumwacha mke wake peke yake kubeba jukumu la malezi ya watoto kwenye ulimwengu huu...
  5. Miss Zomboko

    Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  6. M

    Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

    Kinje kama kinje kaongea Akiongea na Radio moja pale SA Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote. "Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza...
  7. majam19

    Jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha yangu

    Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba, kunawakat tulilala njaa kabisa...
  8. Juice world

    Hivi Fly Emirates na Arsenal ni mkataba wa maisha

    Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
  9. G

    Maana ya maisha mazuri

    Kwa wanaume ni;- 1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako. 2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako. 3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako. Kwa mwanamke ni;- 1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje. 2...
  10. Mshangazi dot com

    Naomba ushauri: ukifiwa, unavukaje maumivu na kusonga mbele na maisha?

    Rafiki yangu amefiwa na mama mzazi na mdogo wake siku moja kwenye ajali. Anaumia sana, imepita wiki sasa, ila bado analia kila siku na kuongea peke yake mpaka tunaogopa. Kama umeshawahi kufiwa na mtu wa karibu, nini kilikusaidia kutuliza maumivu na kuweza kusonga mbele?
  11. Roving Journalist

    Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  12. Victor Mlaki

    Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  13. Mr Ballo

    Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
  14. Ritz

    Mateka wa Israel Arbel Yahud; ataachiliwa huru Ijumaa ijayo, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 30 wanaotumikia vifungo vya maisha

    Wanaukumbi. ⚡️JUST IN: An agreement has been reached regarding the Israeli prisoner Arbel Yahud; she will be released next Friday, while Israel will release 30 prisoners serving life sentences.—Hebrew Maariv Newspaper. =============== ⚡️Makubaliano yamefikiwa kuhusu mfungwa wa Israel Arbel...
  15. Mshangazi dot com

    Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  16. K

    Ana miaka 32 Hana mke Hana mtoto Hana maisha anasema nisioe, kama kuoa ni kutoafanikiwa mbona yeye bado fukara😃

    Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
  17. Rorscharch

    Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Dkt. Nshala alitishiwa maisha sababu ya kupinga Mkataba wa DP World. Uteuzi wake CHADEMA unamaanisha nini kwenye Siasa za Tanzania?

    Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia ulifanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama na Lissu akafanya uteuzi wa viongozi, na kati ya...
  19. Magical power

    Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

    nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
  20. Mshangazi dot com

    Tusipangiane maisha

    Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
Back
Top Bottom