maisha

  1. M

    Maisha ya depo

  2. Dr. Mariposa

    Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

    Wakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣 Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila nikiwaza kwa ujinga wangu nilivyohatarisha mahusiano yangu na kuharibu maisha ya huyu binti, Mwaka...
  3. Davidmmarista

    Je, ni kweli kuwa katika maisha ya sasa hatuangalii GPA kubwa, bali ujuzi hasa katika computer science

    Sababu: Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile: Programming Blockchain technology Web Development Akili Bandia (AI) &Machine Learning Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani...
  4. Manyanza

    Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  5. K

    Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

    Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini. Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo. HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk Fanya biashara ambayo histologically...
  6. Magical power

    MAISHA MTAANI NI MAGUMU

    Bro, Maisha mtaani ni magumu. Ukisikia ni magumu unaelewa, moja haikai mbili haisimami. Mbele hauendi, nyuma hakurudiki. Hauoni future.! Ni kama matumaini nayo yamekata tamaa. Unajaribu namna zote za kujikwamua ambazo zinatajwa na kijana wa karne ya 21 lakini wapi.... Unabeti mikeka inachanika...
  7. Wauzaji wa containers

    Kwanini watu walioajiriwa serikalini wengi wana uwezo mdogo wa akili?

    Serikali Ina useless people wengi Sana . Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini . Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
  8. Intelligent businessman

    Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

    Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia. Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo...
  9. Nikola24

    Leo hii ukiifahamu tarehe yako ya kufa, je utaanza kuishi maisha ya aina gani?

    Je, hilo swali ungejibuje? Mimi kwangu kwanza maisha yangekuwa ya maana sana. Ningeishi kitakatifu zaidi. Wekeni majibu yenu tusome!
  10. Megalodon

    Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital. Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana...
  11. Allen Kilewella

    Angalia George Weah baada ya kutoka kwenye kiti cha Urais jinsi anavyoishi maisha ya kawaida

    Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka kwa hofu ya kurudia kuishi maisha yao ya kawaida ya zamani. Lakini aliyekuwa Rais wa zamani wa Liberia, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2023 dhidi ya mpinzani wake Joseph Boakai, mambo yamekuwa tofauti. Weah ambaye kabla ya kuwa...
  12. MamaSamia2025

    Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

    Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
  13. Manyanza

    Maisha yakiwa rahisi sana hugeuka kero

    Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya starehe sana muda wote kwa sababu anakuwa anaishi maisha rahisi sana hivyo atalazimika kuishia...
  14. Augustine Aloyce

    Maisha ni hadithi

    Hapa kuna maana kubwa sana. "Maisha ni HADIDHI tu" Kila mtu anapokuja kwenye uso wa Dunia anakuja kitabu chake kikiwa kitupu yaani (empty) Mimi, Wewe na Yule tunaanza safari na kuandika HADITHI ya maisha yetu kila mtu kwa namna anavyoona inafaa ndipo historia inaanza mpaka tunapotoweka Duniani...
  15. U

    Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
  16. G

    Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

    Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa. Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
  17. Etugrul Bey

    Mafirst born muishi maisha marefu

    Kuwa wa kwanza kuzaliwa hakika ni mapambano makubwa sana,kwasababu moja kwa moja unajikuta majukumu yanakuandama kwa namna moja au nyingine Hawa watu wanajitoa sana kuokoa jahazi lisizame katika familia,tena katika hizi familia zetu ambazo bado hazija jipata hakika mafirst born wanajitoa sana...
  18. Rorscharch

    Wanawake uswahilini wanaishi maisha magumu sana jijini hapa; bora hata waliopo vijijini huko

    Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira: 1. Wanawake wa huku ni...
  19. Last_Joker

    Wanawake na ‘Soft Girl Era’: Ni Starehe tu au Ni Uthubutu wa Kuishi Maisha Bora?

    Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
  20. T

    Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
Back
Top Bottom