HERI YA MWAKA MPYA 2025
aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90
sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
1986: Kuanza Safari Baltimore School of the Arts
Nilikulia katika maisha ya kawaida ya huko Bongo land kabla ya familia yangu kuhamia Marekani kutafuta maisha bora. Mwaka 1986, nilijiunga na Baltimore School of the Arts, shule maarufu iliyojulikana kwa kukuza vipaji vya sanaa. Nikiwa huko...
Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali
Mwanamke wa kwanza;
Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba mtu mwenye mafanikio ni yule anayewaheshimu Wazazi wake. Mtu anayewaheshimu Wazazi wake, haishii...
Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri.
Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
Kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mnachangia choo na bafu na wapangaji wengine basi bado unaishi katika maisha duni sana, bado una safari ndefu ya kuyafikia maisha ya hadhi anayostahili binadamu.
👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama
👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni
👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima
👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo
👉Kuazima Pasi kwa...
Mimi nikiwa na shida sipendagi shida zangu ziwe kero kwa mwengine nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu kutafuta suluhu ya matatizo yangu , kadhalika huwa sipendi shida za mtu mwengine ziwe kero kwangu maana na mimi kama binadamu ninashida zangu
Waswahili sera za ujamaa zimewaharibu sana huwa...
Eti wakuu
Jaribu ku-imagine dunia ambayo blacks na Arabs au mmoja kati yao ndio angekuwa super power, maisha yangekuwaje wakuu?
Unahisi hali ya uchumi, siasa, usalama wa nchi mojamoja na dunia kwa ujumla ingekuwaje?
Hizi ni fikra tu wakuu
Karibuni
👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na...
Ni siku za mwisho wa mwaka huu wa 2024, kila mmoja wetu ana fanya tathimini yake binafsi, familia jamii na hata taifa kwa ujumla.
Kila kunapo pambazuka hatukosi jipya la kujifunza, ikizingatiwa akili ya mwanadamu imeundwa kwa mfumo wa kujifunza wakati wote uhai ukiwepo.
Kwangu binafsi...
Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa
Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
Maisha Hayana Mapambo: Ukweli Usio Na Filter Unapokuwa Mzee
Kadiri muda unavyosonga mbele, maisha yanafunguka kwa njia ambazo mara nyingi hatutarajii, yakileta masomo na uzoefu ambao hutufanya kuwa kile tulichokuwa kimekusudiwa kuwa. Kwa wengi, miaka ya ujana imejaa hamu ya kuonekana bila...
Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo.
1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu.
2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima...
👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie.
Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
Wakuu inafikirisha kidogo!
Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu.
Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.