Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
Haya ni maoni yangu binafsi,
Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao.
Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
Hali zenu?
Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje.
Kumbe mashosti zake...
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
Mambo yanayo zuia mafanikio kwenye maisha Tanzania ni mengi sana na ukiwachunguza sana watu waliofanikiwa utagundua kuwa kuna tabia au mambo kadhaa yanayoshabihiana kati yao.
Pia ukiwachunguza watu walioshindwa au ambao hawajafanikiwa, utabaini pia kuna tabia au mambo kadhaa yanayofanana kati...
Habari wanajamvi,
Kwa maisha yalivyo na yanavyoelekea huko mbeleni nimeamua kuwaandalia wanangu mali hii ije iwasaidie baadae
Nina watoto wawili wa kiume mmoja Miaka mitano na mwengine Miaka miwili. Nimeamua kila mmoja ninmnulie Ardhi ekari 2
Kila mmoja nitampandia minazi 400
Kwa nini minazi...
Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari.
Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu kuzungumzia chochote kuhusiana na utekaji na mauaji ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kwake yeye, baada...
Kwa walio soma Maria De Mattias high school, ningependa kuomba msaada wenu kwanza issue ya elimu wanafunzi wanafundishwa then life style ya shuleni ikoje?
Mwongozo wa Wanaoanza Kujichukia;
Hapa chini kuna sheria 10 ambazo unaweza kutumia ili kuwa mtaalamu wa kujichukia kwa haraka. Mwongozo huu umeelekezwa kwa wanaoanza na hauhitaji ujuzi au uzoefu wa awali. Tunashauri sana kuepuka vitu vyenye ncha kali na kingo za majengo. Hakuna mtu anayetaka...
Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia;
Lifestyle ya ''hustle culture ''
- Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu.
Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli.
Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa...
Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari.
Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
Muda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu
Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza
Muda mwingine niko ndani hawajui kama niko ni mwendo wa umbeya. hadi mimi humo ndani najadiliwa
Kidogo watamix na story za mpira ila...
Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi
Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen
Ukubwa - 91sqm
Urefu - 12.3m
Upana - 8.5m
Gharama Ujenzi Boma
- Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi?
Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani?
2.Ndoto zako za utotoni zilikuwa zipi? Binafsi utotoni nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi, ila kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.