maisha

  1. KJ07

    Natafuta mwenza wa maisha

    Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu cha kudumu na chenye maana. Ninachotafuta ni mtu mwenye maadili thabiti, moyo wa upendo, ukomavu wa...
  2. DR HAYA LAND

    Life is truly a Numbers Game/ Maisha kiukweli ni mchezo wa namba

    Life is truly a Numbers Game Maisha ni mchezo wa namba Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au unafahamiana nae miaka mingapi. Jaribu kuwa na utamaduni wa kuwatafuta watu wengi kadri ya uwezavyo ...
  3. Alvin_255

    Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  4. Sir John Roberts

    Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  5. Braza Kede

    Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  6. B

    Nimekata tamaa ya maisha

    Nimekata tamaa ndoa inatesa sana. Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa. Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
  7. M

    Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  8. Intelligent businessman

    Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

    I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu. hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu. Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu. ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
  9. Manyanza

    Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza 🤔 Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  10. Mama Mwana

    Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

    Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna flan ya kufundisha hata kutia moyo wale ambao mioyo ilishakufa zamani kuhusiana na ndoa au mahusiano...
  11. X_INTELLIGENCE

    Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  12. Rorscharch

    Ustawi wa Mataifa Hufuata Mzunguko Fulani wa Maisha (kupanda mpaka kuporomoka): Watanzania tupo wapi?

    Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa kwa historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake maarufu, The Fate of Empires and the Search for Survival (1978), Glubb alieleza kuwa mataifa yote makubwa...
  13. KikulachoChako

    Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  14. mdukuzi

    Kuanzia mwaka 2030 Dkt. Nchimbi ataishi maisha ya kipweke angali kijana kama ilivyo kwa Obama, Sumaye na Vuai Nahodha

    Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako. Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu wakubwa wamejiwekea. Pia soma - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika...
  15. Wakusoma 12

    Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  16. M

    Nilichojifunza kuhusu maisha

    Unaweza kuzungukwa na watu 1000 na katika watu hao asiwepo hata mmoja ambae atakuwa rafiki na mtu wa kweli, tumezungukwa na watu wengi na wapo kwenye maisha yetu kwa sababu wanajua kupitia wewe utamvusha na kumfikisha anapotaka na hatajali kuanguka au kusimama kwako, watakuchekea na kukuweka...
  17. Strong and Fearless

    Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

    Maisha yanakufundisha nini wakati huu?
  18. M

    Maisha ya depo

    SEASON-1 EPISODE 01 Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mmoja wetu kwa kufika hatua hiyo ya kumaliza elimu ya upili baada ya kumaliza mitihani ya kidato cha sita. Kilichobaki kwa wakati huo ilikuwa ni kuagana👋 kwa kila mmoja wetu kwani tulijua ya kuwa hakuna kitu kingine cha kutukutanisha...
  19. Juice world

    Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  20. Aaliyyah

    Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

    Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri NB Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa...
Back
Top Bottom