maisha ya shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania Darasa lililokamilika ilikuwa lazima liwe na watu hawa, wewe ulikuwa yupi?

    Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu. Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima liwe na watu wa aina zote kama inavyoonekana hapa picha. Mimi nilikuwa Joni Kisomo, wewe ulikuwa yupi?
  2. bakundande jr

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulielewa tofauti na uhalisia wake katika nyakati tofauti za maisha ya shule?

    Haabari za muda wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya na pasi na shaka mko katika majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa letu. Bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada husika. Katika maisha ya kusoma kuna kipindi unaweza soma au kusikia mada fulani na kuitafsiri tofauti na maana...
Back
Top Bottom