maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti Sayuni03

    Nyie weekend mnaenjoy wapi?

    Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
  2. Eli Cohen

    Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  3. Atukuzwee

    Hii imekaaje nina upepo na nyota ila maisha yangu ni maseke?

    Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana. 1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa. 2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
  4. majam19

    Jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha yangu

    Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba, kunawakat tulilala njaa kabisa...
  5. M

    Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  6. Intelligent businessman

    Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

    I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu. hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu. Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu. ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
  7. T

    Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
  8. Kalaga Baho Nongwa

    Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

    Wakuu inafikirisha kidogo! Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu. Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu...
  9. muafi

    Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  10. Pang Fung Mi

    Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  11. sergio 5

    Nikioa na kufanikiwa Ex -atakuja kuharibu ndoa na maisha yangu

    Habari za mda huu wakuu Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL) Nikakubari...
  12. Edsheraan

    Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
  13. FatherOfAllSnipers

    Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  14. DR HAYA LAND

    Huu ndo mtiririko wa Maisha yangu ulivyo na utakavyokuwa kuanzia sasa

    Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa. Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye (kumtabulisha na kumvisha pete) Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
  15. M

    Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

    1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam 4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika...
  16. S

    Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

    Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu. Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao. Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana...
  17. Shooter Again

    Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  18. KING MIDAS

    Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

    1. Bunduki 2. Vilipuzi vya aina mbalimbali 3. Sumu za aina mbalimbali 4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri) 5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara 6. Sitafuga samaki aina ya Bunju 7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
  19. Satirical Yet Awesome

    Katika maisha yangu sikudhani kama nitakuja kulea mtoto wa mtu ila huyu dogo kabadilisha mtazamo wangu

    Hastaili kabisa kuishi bila baba
  20. C

    Wapi naweza kupata Kadi za CHADEMA?

    Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
Back
Top Bottom