maisha yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
  2. mwakavuta

    Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  3. Theb

    Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  4. Liverpool VPN

    Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
  5. Replica

    Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

    “Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa" "Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini

    Ndugu zangu Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini. Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya...
  7. Civilian Coin

    Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

    Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
  8. HaMachiach

    Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

    Maisha yana mambo mengi sana, nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yaani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimarangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara. Huyo dada...
  9. Lycaon pictus

    Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
  10. Superbug

    Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  11. T

    SoC01 Tukio lililobadili maisha yangu na umuhimu wa kupewa nafasi ya pili katika maisha

    Wakati nimefika AYA Sec 2007 Kondoa kuanza form 1 (boarding), niliibiwa suruali 3, mashuka 2, viatu, nk. Ilikuwa ndio 'Welcome Party' pale kila mwaka. Kuhamishiana vitu ilikuwa ni kawaida sana bwenini kwetu. Nilipofika Form 2 nikaanza kujifunza hizo mishe na mimi. Nakumbuka nilijifunza...
  12. Mohamed Said

    Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
  13. Sitachoka

    Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  14. Kifaru86

    Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

    Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na tumezungumza . Katika mazungumzo aliniambia kiustarabu anaona bora tuachane au tuvunje uhusiano kwa...
  15. U

    Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

    Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa maumivu yasiyo na kifani Nilianza kuishi na mke wangu huyu 2008 kabla ya ndoa na tukabahatika kupata watoto wawili na mwaka 2018 january tukaamua kubariki ndoa Na kilichokuwa kinachelewesha ndoa...
Back
Top Bottom