Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ?
Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone.
Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati.
Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo
Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
Wakuu
Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini
,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road,
Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
Habari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo;
1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB.
2. Kazi nimeanza tangu 2012...
Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng.
Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0
Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU
UTANGULIZI
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa.
Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi.
Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are...
Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu.
Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
Habari za leo wakuu.
Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya ametangulia hata kabla hajasuhudia matunda ya mchango wake kwangu.
Kama mnakumbuka around mwaka 2018 na 2019...
Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi.
Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri.
Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
''Yupo lakini huisikii sauti yake.
Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake.
Lakini yupo ila wewe humuoni.
Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza.
Huisikii sauti yake.
Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU
Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir kimezinduliwa leo asubuhi.
Hapo chini ni sehemu ya kwanza ya pitio la kitabu hicho:
PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI YA BARAZA LA MAPINDUZI KHAINI AU MHANGA WA MAPINDUZI?’’
SEHEMU YA KWANZA
Kitabu chochote cha...
Natumaini mko salama katika ujenzi wa taifa hii ni story ya kweli kuhusu maisha yangu nimeamua leo kuisema ila kuna ambavyo mnaweza kujifunza.
Nilipomaliza chuo(nilisoma kilimo) niliamua kwenda wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro katika utafutaji nilienda huko kulima mazao haya ya bustani hasa...
Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita,
Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado.
Miaka hii...
Pili Mwinyi
Waislamu kote duniani bado wanaendelea kutekeleza nguzo ya nne ya Usilamu yaani kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hivyo leo tena napenda kuendelea kuzungumzia nguzo hii, na vilevile kuwafahamisha watu waliopo nje ya China, jinsi mimi na waislamu wenzangu wa hapa China tunavyoishi...
Sina hela, sina kazi, ma HR wa humu JF nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.
Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.