maisha

  1. G

    Kusota kwenye maisha haimaanishi kuwa baadae utatoboa, unaweza kudumu na hali hio au iwe mbaya zaidi, si kila msoto una nuru.

    hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k. dunia ni katili sana Si kila hali ngumu huwa inapita wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna...
  2. Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  3. M

    Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  4. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  5. Ukweli wa kufanikiwa kwenye maisha huu hapa

    Japo wengi hawataki kuongea, Hanscana kaongea ukweli Kuna age ukifika lazima uwe mtu WA kuforce mazingira.
  6. Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  7. Kutoka Ndoto Kuweka Uhalisia: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza Stadi Mpya kwa Kucheza Michezo

    Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo! Fikiria hili, wewe...
  8. DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  9. Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  10. Ni ngumu sana kumpa Mwanamke anaeweze kuvumilia kila hali ngumu za maisha unazokumbana nazo Mwanaume

    Intro: Bila salamu. Literature Review: Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
  11. Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  12. Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  13. Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

    LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu. Nikasema, siô lazima kîla Mtu akuheshimu, nikimaanisha siô kîla heshima ni muhimu kwako. Nasema, kîla heshima inakuja Kwa Wakati...
  14. Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

    Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
  15. Maisha yatakosa maana baada ya miaka 20 tu ijayo

    Nikusalimu Ndugu!! Kwa kuwa tumepewa UHAI basi wajibu wetu ni kuhakiki wajibu unatimizwa wa Kila mmoja wetu akiwa na huu Mwili, usijipe woga Wala USIOGOPE Kuwa na wazo mbadala. Maisha ya hapa ulimwenguni yameanza KUKOSA maana Lakini ifikapo 2045 takriban miaka 20 ijayo maisha ya mwanadamu...
  16. O

    Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?

    Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100 ya nyoka ambapo muathiriwa huhitaji matibabu Nini cha kufanya ukiumwa na nyoka ili kuokoa maisha...
  17. Huu ndo mtiririko wa Maisha yangu ulivyo na utakavyokuwa kuanzia sasa

    Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa. Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye (kumtabulisha na kumvisha pete) Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
  18. Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  19. D

    Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  20. M

    Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

    1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam 4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…