Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.
Kwa kweli wakati...
Karibu...
1. MDOMO
Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...
Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA!
Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha!
Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira ayatawale! Sasa unaposema MAISHA Ni MAGUMU mimi huwa simuelewi Magumu kwa kuyalinganisha na yepi?
Binadamu...
Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia.
Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako.
Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi.
Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo.
Ni kama tunaiba hii...
Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako
Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa na maumivu ni furaha kwao
Mateso yetu kwaoo n sikukuuu
Kuanguka kwetu n shangwe usiku mzima kwenye...
ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira.
Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka...
Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo
1: siasa safi itazaa tunda la Amani
2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia
3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza
4:Siasa safi itaruhusu Uhuru katika Mahakama na vyombo vya habari
Siasa safi ni ustawi wa nchi na siasa safi nizao la...
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa.
Au...
vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini,
Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
Leo Tarehe 20-09-2024
NDUGU Godbless Lema
Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania
Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu.
Sisi sote ni NDUGU hii ni...
Kama kuna watu wanaotakiwa kusoma alama za nyakati vizuri basi watu hao ni polisi wetu.
Kwa muda mrefu wamejiweka juu ya sheria kwamba wanaweza kuvamia popote na kumkamata mtu yeyote bila kufuata sheria. Hawatoi vitambulisho, hawawatumii viongozi wa eneo husika, wanatumia, maguvu bila sababu...
Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
Na Chibueka:
Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao.
Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake.
Hii ni kwa sababu wanawake hawatabiriki na wanaweza kukubadilikia wakati wowote.
Kwa kawaida mwanamume hapati faida...
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.