Niwasalimu ndugu zangu hapa!!
Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo.
DHANA YA MATESO:
Kila nikisoma hivi karibu habari mbali mbali nakutana na binadamu kufanyiana mambo yanayopelekea...
Njia 5 Za Kuvutia Pesa Kwenye Maisha Yako.
Pesa ni kitu chenye thamani kubwa kwenye maisha ya sasa.
Bila ya pesa kwa maisha ya sasa ni majanga mazito sana.
Unaweza ukakosa vitu vyote vizuri.
Hata watoto wazuri utabaki kuwaita shemeji tu.
Hotel kubwa utabaki kuziangalia kwa nje tu...
Leo tunakuzwa katika misingi ya kujitetea na kukwepa kuwajibika karibu katika kila eneo. Hatujifunzi na hatutaki kukubali kuwa tunapaswa kuwajibika asilimia mia moja juu ya maisha yetu na badala yake tunawatafuta wa kuwatupia lawama.
Ni kweli yapo mambo mengi yanayoweza kutokea nje ya uwezo etu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu
Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha
Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why...
Nchi nyingi Duniani zimeingia kwenye machafuko kutokana na wazee kukosa uzalendo na kuendekeza tamaa.
Wazee wengi wenye miaka zaidi ya 50 wamekuwa mstari wa mbele kukandamiza haki huku wakitumia dola kuendelea kujinufaisha.
Wazee wanapokosa maono mbele upelekea wao kuamini kwamba hakuna mwenye...
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo.
Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii?
Maisha ni haya...
Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au wataalam wa teknolojia tu. Lakini ukweli ni kwamba, blockchain siyo tu kwa wenye pesa au magwiji wa...
Habari,
Leo Katika siku tulivu, nilipata muda wa kutafakari juu ya maajabu ya ulimwengu. Niliketi nje, nikisikiliza upepo ukivuma na kutazama anga pana. Katika utulivu huo, swali moja lilinijia: "Je, maisha ni nini?" Swali hili liliamsha hamu ya kutafuta majibu, lakini pia lilinifanya nijiulize...
https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
Kijana amemaliza degree yake karudi mitaa aliyokulia, yupo bize kuomba kazi na kutembeza bahasha bila mafanikio, kujitolea kwenye taasis kwa mshahara wa laki 1, n.k. Hawezi kufungua sehemu ya kunyoa nywele, kuwa seremala, kuuza mgahawa, n.k. kuna hofu ya watanionaje
Mchezaji wa mpira, msanii...
As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo.
Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini...
Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much.
Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje.
Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa sipapendi Dar nikaamini naweza toboa mkoani.
Mguu wa shingo mguu wa roho nikaingia sana vijijini huko...
Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake.
Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
Habari wadau!
Kwa wale wanaoishi wakifanya shughuli zao binafsi kuna haja kubwa ya kujitangaza kwa kile unachokifanya. Vijana wengi wanaogopa kujitangaza mitandaoni na kuishia kuangalia wenzio wakienda mbele.
Ujumbe huu uwe mahususi kwa vijana hasa wa mikoani mmelala sana. Hata mikoani unaweza...
Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10.
Katika swala la maadili...
baba wa familia
binti
elimu
ijue historia
maishamaisha yangu
malezi
mbona
single mother
story za vijiweni
true story
ukatili
unyanyasaji
usimkosee heshima mwanamke
vioja vya familia
vituko
Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.