Wakuu kwema? Habari za weekend.
Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo.
Wengi wetu huwa tuna matarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie kutoka kwa mtu yeyote awe ndugu au rafiki. Lakini huwa tunavunjika moyo na kuwaona watu wabaya...
MAMBO YA KUFIKRIKA YALIYOPO DUNIANI NI YAPI?
Kuna mambo mengi sana ya kufikirika yameundwa na kupewa uhai ambayo yanaleta ugomvi mwingi kwa watu hapa duniani. Katika masomo yangu haya niliyoyaanzisha ya kujitambua, kuna watu watajifunza na kufunguliwa nafsi zao na kuwa huru.
Baadhi ya mambo ya...
Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia.
Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa...
Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku
Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea kwa upendo wale wanaotuchukia au kututendea vibaya. Hakuna mtihani mgumu ambao Kristo alitupa katika...
Kwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku??
1.kufiwa na mzazi au wazazi
2.kufiwa na mpenzi au mke
3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu
4.kuacha au kiachika na mchumba au mpenz au mke
5.kutengwa na marafiki ndugu au wazazi...
Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua.
Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
My Take
Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha.
Kipimo sahihi Kwa hao watu wanaojigamba ni kutetea watu walioumizwa na wale wanaowalinda au kuwatuma ndio tutajua...
Ikitokea fursa nilipwe kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu maishani mwangu. Ningechagua kusafiri kuona na kujifunza vitu vipya. Kama wazungu wanavyosema we Only live Once
Wewe ungechagua kufanya nini na kwa sababu gani?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake.
Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao.
Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata.
Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na kuhukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitatu gerezani. Akiwa nje kwa dhamana, Cornealious na wakili...
Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago, nikabaki sina kazi na hapo nilikua nimempa mimba binti mmoja hivi na ndo ilikua mimba ya mtoto wangu...
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?
Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
Samaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
Habari wakuu.
Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo.
Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia? Unapiga Moyo konde na kusema Wacha nisonge mbele asee hujafika hatua kadhaa unaskia asee Kuna michango...
Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi?
Tiririka Mkuu.....
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi.
Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya.
MLIOAMUA KUOA CHUKUENI DARASA HILO KUTOKA KWA MJANJA M1.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.