maisha

  1. Yoda

    Wanawake wa mjini wanashangaa baadhi ya wanaume wenye magari kuwa na maisha ya kuungaunga!

    Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
  2. BabaMorgan

    Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

    Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind). Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total...
  3. Pang Fung Mi

    Mapenzi yanaisha ila maisha yanaendelea na utamu wa maisha ni shoo za kibabe

    Shalom, Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi. Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth. Jamani acheni maisha yaitwe maisha yaani hao mademu ilikuwa ni shoo shoo enzi hizo nawakatia mademu viuno kama vya Nyoshi wa FM...
  4. Poppy Hatonn

    Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

    Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo. Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu. Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya. Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada...
  5. W

    Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  6. M

    Hili ni jambo la kijinga na dhambi niliyowahi fanya ambayo naijutia sana

    Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma tuition kabisa na ilikuwa kila likizo lazima tukutane na program za kazi baba kashaziandaa. Likizo...
  7. laii

    Wanaume unapoombea watoto wako usiombee tu ulionao nyumbani, wanawake wana siri nzito

    Kuna umri ukifika, mwanaume uliyezaliwa rijali na kupitia mapito mengi hapa duniani ikiwemo maisha ya uchumba, club, pombe, unapowaombea watoto, omba naombea watoto wangu popote walipo, usiombee tuu hao wa nyumbani kwako. Kuna wanawake wana siri nzito sana, unaweza ukampa mimba akapotea...
  8. Bonsipele69

    Jumapili ya leo nakuombea mrudiane na ex wako mkajenge familia

    Ni bora kumvumilia mpenzi wako huyohuyo aliyekukosea kuliko kuanza kuongeza idadi ya mliowahi kudate na hatimaye kuwa Malaya. Hivyo ni bora kuwa mvumilivu kuliko kuwa Malaya. Mbarikiwe!
  9. DeMostAdmired

    Nakumbuka jinsi nilivyowanusuru wasaidizi wetu dhidi ya kifo

    Hello how are you all!!!!! Leo nimekumbuka hiki kisa. Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku. Baba yangu ni mkulima pia wa tumbaku toka kitambo sana. Huwa tuna utaratibu wa kuendea wasaidizi wa kazi...
  10. Jack Daniel

    Nia ya kweli, uamuzi wa kweli na msimamo wa kweli

    Hello JamiiForums, Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita. Mungu ni mwema Mungu ni muweza, amenifanya kiumbe kipya najisikia faraja na furaha baada ya kuirejea na kuitimiza ibada kwa...
  11. Chase your dreams

    Siri za Mafanikio

    1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani. 2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni. Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli. 3.Siri ya mafanikio ya...
  12. Richard mtao

    Nywila (Password) ya Maisha

    Habari wana JF. Leo nimeona nikusogezee huu uzi utakusaidia kwa namna moja ama nyingine. Watu wengi hivi leo wamekuwa wakidharaulika sana, kuumizwa sana, wengine kupotezwa kabisa kwenye gemu (upambani au biashara) kwa kushindwa kutengeneza mfumo mzuri wa ulinzi wa taarifa zao au mambo ambayo...
  13. Pang Fung Mi

    Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

    Shalom, 90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa. Na wanawake kwa...
  14. BENEDICT BONIFACE

    Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  15. Killing machine

    Maisha sio magumu tumechezewa akili tu

    Habari za jioni wakubwa zangu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao amini kwamba dunia haikutokea yenyewe" Nina kataa. .Isipo kuwa Nina amini Kuna Kiumbe/viumbe/mungu/miungu wenye hakili kuliko sisi walio iumba dunia yetu nzuli Kwani ingetosha dunia kutokea ikiwa na jua tu lakini kwanini ikatokea...
  16. Lady Whistledown

    Utachagua kidonge kipi?

    Kuna Vidonge Viwili Cha Blu na Chekundu Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu Unachagua kidonge kipi? Kwanini? Karibuni wadau
  17. Annie X6

    Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  18. lugoda12

    Ishi na watu vizuri, matatizo yatakupeleka kwa watu uliowakosea

    “ISHI” na watu vizuri matatizo yana tabia ya kukupeleka kwa watu uliowakosea!! ✍🏾 #HappyThursday 🙌🏾
  19. SweetyCandy

    Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

    Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe. Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima. Kilichoniuma zaidi ni mtu wangu wa karibu sana akalike hiyo comment kama kweli alikuwa ananiona mie kitu cha ajabu kwake si...
  20. Baba jayaron

    Jinsi ya kuongeza umakini (mawazo) katika mipango ya maisha

    Wasalaam ndugu zangu waswahili, Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately. Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha?? Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
Back
Top Bottom