majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasomi

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Imetenga 1Trilioni kwa ajili ya mikopo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Tsh. Trilioni moja kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa riba ya asilimia tatu ili mabenki na taasisi hizo zitoe mikopo kwa riba isiyozidi asilimia 10. “Serikali imeendelea kulegeza masharti ya uanzishwaji wa ofisi za...
  2. B

    Kesi ya Mbowe: Panapo Majaliwa Tuwape Taarifa Mawakili Wetu

    Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao. Heshima kwenu pia...
  3. Naipendatz

    Majaliwa asema CCM kumpeleka kwa wananchi Rais Samia 2025

    Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya...
  4. N

    Hongera Samia kwa kumfanya Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Kwa jina la JMT, nawasalimu sana! binafsi, nafasi ya waziri mkuu ni moja ya nafasi ninayoiheshimu sana na kuiogopa.......tangu nilipopata akili ya kufuatilia mambo ya siasa, mpaka sasa! nikisikia 'Waziri Mkuu', basi picha inayonijia akilini ni; Ukali (kwa wazembe), Uwajibishaji (kwa wakosefu)...
  5. Guselya Ngwandu

    Kasim Majaliwa: Serikali imetenga sh. Bilioni 170 ujenzi mkongo wa taifa

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka wa fedha 2021/2022. “Lengo letu ni kuwawezesha watoa huduma za mawasiliano kutumia miundombinu hii...
  6. Mung Chris

    Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  7. Baraka21

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

    Jana wakati unakataa kuzindua barabara pale Liwale ulimuuliza Injinia kwanini taa hazijawekwa. Injinia alipoanza kufunguka ukamkatiza maana ulijua atasema ukweli na wadanganyika wakakushangilia. Pia kipindi kile unakagua mradi wa DART ulimuuliza swali Mkurugenzi akaanza kufunguka ukamkatiza...
  8. Stephano Mgendanyi

    Kassim Majaliwa: Serikali imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo

    KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo kwa kuweka vipaumbele...
  9. beth

    #COVID19 Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga. Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
  10. Z

    Majaliwa chini ya Magufuli v/s Majaliwa chini ya Samia

    Unaweza ukamuona PM Majaliwa kama mtu ambaye hana muelekeo kisiasa, au hana nguvu sana kama zinavyohitajika ktk nchi hii, lakini kwa mtazamo wangu ktk nafasi yake ya PM, ameweza kuwa mtu ambaye anakwepa blunders (makosa ya kijinga). Majaliwa ni mtu makini asiyetamka bila kuhusisha ubongo wake...
  11. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Afisa Manunuzi Wilaya ya Karagwe kwa kutoridhishwa na ujenzi wa Hospitali

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe Bw. Yesse Kaganda baada ya kutoridhishwa na viwango vya ubora wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Karagwe ambayo imejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.5. “Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kila wakati...
  12. B

    Dkt. Samizi ashiriki vyema ziara ya waziri mkuu majaliwa, ashiriki upandaji wa michikichi

    DKT. SAMIZI ASHIRIKI VYEMA ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, ASHIRIKI UPANDAJI WA MICHIKICHI. Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi ameshiriki vyema ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anayoifanya mkoani Kigoma iliyoanza Septemba 16, 2021. Katika ziara hiyo...
  13. darcity

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  14. Stephano Mgendanyi

    Majaliwa: Anzeni kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika...
  15. Nyankurungu2020

    Kasi ya utendaji wa Kassim Majaliwa imepungua sana, sio kama wakati wa Hayati Dkt. Magufuli

    Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka. Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo. Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku...
  16. Kurunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  17. Shujaa Mwendazake

    Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

    Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu. Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?. Za kwangu hizi...
  18. Stephano Mgendanyi

    #COVID19 Kassim Majaliwa: Hakuna mtu aliyelazimishwa kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    WAZIRI MKUU WA TANZANIA, NDUGU. KASSIM MAJALIWA: HAKUNA MTU ALIYELAZIMISHWA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19. Awataka wananchi wapuuze upotoshwaji unaoendelea mitandaoni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa...
  19. B

    #COVID19 Majaliwa, Jaffo na Vigogo Afya Waachie Ngazi

    Ni jambo la kheri kuwa sera rasmi kuhusiana na Covid-19 hatimaye imebadilika uelekeo kwa nyuzi 180. Kwamba kama uelekeo ulikuwa mashariki, tumegeuka nyuma kuelekea magharibi. Mwanga mpya wa matumaini unaanza kujitokeza. Chanjo toka kwa wahisani tuliowaanzishia mabeberu zimeanza kutufikia bila...
  20. M

    Rais Samia, hili baraza la sasa siyo lako, ni la Magufuli akishauriana na Majaliwa, tengeneza baraza lako!

    Ndugu rais Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi...
Back
Top Bottom