Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.
Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi.
-
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
hali
hayati
jpm
kibanda
kina
kisasa
kuchunguza
laki tano
majaliwa
milioni
miradi
miradi mikubwa
mlinzi
ofisi
picha
takukuru
tozo
ujenzi
umerudi
veta
wakamatwe
wote
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
26 August 2022
Tunis, Tunisia
MKUTANO WA TICAD
Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote.
Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa CAF AICC Arusha.
Mkutano huo umehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Patrick Motsepe.
IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA.
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini.
Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya...
Julai 29, 2022 Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amezungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam.
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...
'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza.
Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi. Hii ni ngumu sana.
Chanzo na tatizo ni January alipokuwa ofisi ya Makamu wa rais Mazingira. Hapa...
Habari Wana JF,
Ukweli ni Ngumu sana kwa Upinzani kuchukua Madaraka ila Kwa sasa kama Upinzani hasa CHADEMA utafanikiwa kumshawishi Majaliwa kuhamia na kugombea Urais litakuwa pigo kubwa ka CCM.
Kiongozi huyu ndiye kiongozi pekee mwenye ushawashi na kukubalika na Watanzania kwa Sasa ikiachana...
Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?
Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?
Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio
Mbona TTB walisema watalii...
UPDATES. TAREHE 23/72022
WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA
*Aahidi kuikabidhi kwa Mheshimiwa Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.