majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyenyere

    South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  2. P

    Majaliwa na maana ya uokoaji, Precision Air na deni kwa kijana huyu

    Yanasemwa mengi juu ya ajali mbaya ya ndege ya Precision Air kule Bukoba ikiwa imebakiza mita 150 kabla haijatua. Kila mwenye ujuzi wa kuandika anaandika kila mwenye maarifa ya ukosoaji anafanya hivyo kwa nguvu kubwa. Kijana Majaliwa mwenye kujishughulisha na biashara ya dagaa ndiye aliyeibuka...
  3. MakinikiA

    Zawadi aliyopewa Majaliwa (Shujaa) inaakisi alichofanya? Je, inahamasisha sisi wengine kufanya alichofanya?

    Salama wandugu, Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
  4. and 300

    PENDEKEZO: Bukoba Airport (Sasa iitwe Majaliwa Airport)

    Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
  5. robinson crusoe

    Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  6. S

    PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

    PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali? Au hatambui maana ya cheo ni dhamana? 2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
  7. saidoo25

    Majaliwa ashtukia upigaji wa Bilioni 8 za zoezi la hereni za mifugo

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki. Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
  8. britanicca

    Waziri Mkuu Majaliwa anawaangalia kama hawaoni vile ila anipiga kazi sana

    Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!! May be one day nitafufua uzi huu mwaka 2030 Mungu atuweke , Wewe na Hussein Mwinyi mnakubalika zaidi...
  9. Jidu La Mabambasi

    Spot on Mh PM Majaliwa, Mkandarasi na TARURA wawajibishwe

    Miradi ya mingi ya TARURA ina matatizo ya usimamizi. Makandarasi walio chaguliwa kwenye tenda za TARURA wengi ni wababaishaji na hivyo kukosa viwango vya kutekekeza miradi. Waziri Mkuu Majaliwa kalionyesha hilo wazi baada ya ukaguzi wa barabara huko Ukerewe. Mkandarasi kapewa siku kumi na...
  10. sifi leo

    Kwanini wanyonge wa Hayati Magufuli wanamlilia sana Kassimu Majaliwa kuliko Rais Samia?

    Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi? Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya? Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa...
  11. tawakkul

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  12. Nyankurungu2020

    Kassim Majaliwa kama mapato ya utalii yameongezeka sasa kwanini usimshauri Rais Samia akafuta tozo zinazosumbua raia wa chini wasio hatia?

    Kwa nini mnatusumbua kwa mitozo ya ajabu ajabu wakati kumbe mapato ya utalii yamepaa kwa 81.8%? Acheni kuonea wanyonge.
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Kassim Majaliwa akwea pipa kuelekea Japan kumzika ABE

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe. Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
  14. Jidu La Mabambasi

    Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  15. M

    Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  16. saidoo25

    January Makamba kumrithi Majaliwa

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa. Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
  17. Jidu La Mabambasi

    Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri. Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million. Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
  18. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wanunuzi wa tumbaku ambao hawajawalipa wakulima wachukuliwe hatua

    WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA - MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwani Serikali inataka kuona wakulima...
  19. sifi leo

    Kwanini vita ya Ufisadi inapiganiwa na Kassimu Majaliwa na sio Rais Samia au Makamu wake wala TAKUKURU awamu hii?

    Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi? Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua Mwendazake? Vitendo vya wizi wa mali za umma vinazid kuongezeka kila kukicha, watumishi wa umma wamegeuka...
  20. B

    "Watu wasikamatwe kabla ya uchunguzi," Waziri Mkuu Majaliwa haimuhusu?

    Kumesikika Uyui Tabora watu kutuhumiwa kula kwa urefu wa kamba zao. Waziri Mkuu kaamuru wakamatwe kisha TAKUKURU wafanye uchunguzi. Hii imekaa je ikizingatiwa hawa ni watuhumiwa tu bado? Hivi hawa TAKUKURU wenye kusubiria amri kama hizi hata kuna haja gani ya kuwa nao? "Kwa rushwa...
Back
Top Bottom