Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.
Prime Minister Kassim Majaliwa has ordered the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to investigate the allegations facing Sumbawanga Teachers College Accountant Eric Rutamirwa and Instructor Godfrey Msenuka for burning government documents.
According to the Prime Minister, the...
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri.
Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo.
Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata...
Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana.
Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna...
Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka.
Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo vya kati, maDC, maDED, CEO mashirika ya Umma wengine wao ni wapigaji kwa kwenda mbele.
NB...
90' Mwamuzi anamaliza mchezo
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi
Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga
82' GOOOOOOOOOOO
75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga
66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭
WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA.
Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege.
Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.
Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba
-
Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja...
Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza.
Stay tuned
======
UPDATES
Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.
Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.
Hata mwezi haijapita dege...
Siyo siri tena ndani ya CCM kuna kundi linaitwa “Matokeo Chanya”
Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde.
Hawa wanasema ndiyo wenye Kulinda Legacy ya Mwendazake...
"Nautaka Uongozi wa Soko la Kariakoo uniletee Nyaraka zote za Soko hili kabla halijaungua July 10 mwaka jana" Waziri TAMISEMI Angellah Kairuki.
Chanzo: TAMISEMI
Akishindwa naomba mniahidi GENTAMYCINE kuwa nikivipata kwa Kuzamia katika Majivu na Kifusi nami mtanichangia Pesa, mtaniita Shujaa na...
Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma.
Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji...
Waziri Mkuu ni nafasi nyeti sana katika muundo wa kiutendaji, je katika muundo na mamlaka na uhuru wa kimamuuzi hasa autonomy kwa muktadha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikoje? katika nafasi hii. Ina nikera sana kuona kwamba Waziri Mkuu nchi hii ni nafasi inadharauliwa sana na haina heshima...
Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na mtangazaji wa TBC asubuhi baada ya ajali kutokea jana yake nikaamini nilichokiona.
Kijana ameucheza...
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.
"Huyu Kijana tena Wajina...
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.