Inamaanisha nini?
Niliota hivi karibuni!
Katika ndoto hiyo, tulikuwa sehemu ambako chakula kilikuwa kinagawiwa kwa utaratibu wa "self service".
Nilisimama kwenye foleni kama wenzangu kuelekea kwenye meza ya vyakula, na nilipofika, vyombo vikawa vimeisha. Ilinibidi mimi, pamoja na waliokuwa...