Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na...
Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri.
Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
UTI
asilimia kubwa ya wadudu (e.coli)
wanaosababisha UTI huishi kwenye kinyesi. Kwenye njia hiyo wadudu hawa hawasababishi shida yoyote lakini wakiahama kwenda kwenye njia ya mkojo ndiyo huleta shida ya UTI. Na ndiyo maana wanawake wanapata UTI kwa urahisi kwasababu ni rahisi kuwahamish wakati...
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika.
Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi.
Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo.
Binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.