majani

Anna Majani (4 February 1936 – 28 February 2021) was an Italian entrepreneur. She was nicknamed "the queen of chocolate".

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Hakuna ubishi Majani ni G.O.A.T. Taja beats ambazo alizitendea haki kiuhakika

    My favourites: 1: Ya leo kali - Sir nature https://youtu.be/GXCVGgilmy0?si=NHnPDmN_3d2yp8d5 2: nini mnataka - Pig black https://youtu.be/0qNYFOaORoA?si=QSY3Afitv0bGT_qg 3:wanok nok - Domokaya na mandojo https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?si=137mZNDvguFmK5Rp 4: kimya kimya - Jay moe...
  2. Elon J

    INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

    Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi). Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
  3. Loimata

    Mti mzuri wa kivuli usiochafua na majani

    Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda. Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila tunataka tuikate tupande mingine maana hii kwanza inapendwa na popo ambao huharibu mazingira kwa kinyesi...
  4. GoldDhahabu

    Kuna la kujifunza kutoka kwa wachuuzi wadogo

    Mwanzoni mwa mwaka 2020, nilifanya mazungumzo na kijana mmoja muuza mahindi ya kuchoma Mjini Kahama. Nilitaka kufahamu, pamoja na mambo mengine, manufaa wanayoyapata kutokana na hiyo biashara. Aliniambia, ni biashara inayomlipa sana. Alipokosa nafasi ya kuenedelea na masomo baada ya kuhitimu...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

    Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
  6. E

    SoC03 Namna majani ya mstafeli au stafeli linavoweza kutibu saratani

    Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo linajulikana kwa ladha yake tamu na nyororo, ambayo inafanya kuwa kiungo maarufu katika vinywaji hususani...
  7. BARD AI

    Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

    Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania. Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
  8. Dasizo

    Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  9. J

    TBS watoa ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "Safari Premium Tea"

    TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA" @TBS_Tanzania ==== Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha utata unaotokana na taarifa...
  10. D

    TANROAD barabara ya Bagamoyo Mbezi Tegeta kwanini mnafyeka majani ya kando ya barabara kwa greda na kuziba mitaro?

    Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji! Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
  11. Sildenafil Citrate

    Faida ya mboga za majani kwa afya

    Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika...
  12. JanguKamaJangu

    Majani yenye sumu yadaiwa kuwa chanzo cha ng’ombe 15 kufa wilayani Monduli

    Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo. Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
  13. Equation x

    Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  14. adriz

    Nimefanikiwa kutengeneza majani ya chai ya asili, so sweet, nutritious and energetic

    Moja kwa moja kuokoa muda.. Mimi sio mpenzi wa kutumia majani ya chai ya dukani mara nyingi napenda kutumia chai ya mchaichai,baada ya kupitia nyuzi mbalimbali humu zinazohusu mti wa mlonge na faida zake nikahamasika sana kutengeneza majani ya chai ya mlonge. Nikaingia YouTube na gugo na...
  15. Expensive life

    Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

    Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika. Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
  17. almandoJr

    Majani ya kutibu vidonda vya tumbo

    Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko...
  18. GAGL

    Majani ya kulishia ng'ombe

    Nataka kufanya kilimo cha majani au chakula cha kulishia ng'ombe. Mbali na mahindi, naomba kujuzwa, ni majani gani naweza kulima kwa ajili ya kuyafanya malisho ya ng'ombe kipindi cha ukame?
  19. Idugunde

    Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao. Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi. Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
  20. MK254

    Kenya yaendelea kuuza majani chai huko Afghanistan kwa Mataliban, mtajua wenyewe na maugomvi yenu

    Kunatisha lakini, ila binadamu walioko huko wanahitaji majani chai yetu, kikubwa sisi tutie ndani mkwanja...... ==================================== The Taliban takeover of Afghanistan is yet to hit the export of tea to that country as most of the commodity is still accessing Kabul through the...
Back
Top Bottom