Hii imekaa kiwaki sana. Nimejaribu kuassume tokea majuzi, naona haiingii akilini kabisa. Mfano ulio hai, nina mke, Mama Chanja. Kusema kweli ninavyovipata kwa Mama Chanja sijawahi kuridhika, kwanza nimezoea na isitoshe siku ninapoitaka, yeye anakuwa out of mood, siku ambayo nimepiga zangu vileo...