Ona hawa ‘makomandoo’ wa jeshi la Senegal.
Sipendi kuhukumu sana bila ya kuwa na taarifa za kutosha, ila kwa kutumia macho tu, naweza kusema hawa watu [wanajeshi wa Kiafrika] ni vilaza sana.
Hawa wajeda wa Senegal kumbe hawana tofauti na hawa wakwetu wanaovunjaga matofali kwenye maonyesho ya...
Wanaukumbi.
Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!!
Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
Kimbembe kinanukia huko Ghaza.
Ni unafiki wa Waturuki na Urusi kutuma majeshi ya Ghaza au walikuwa wanagoja "timing" ya kidiplomasia kabla hawajafanya "move" yao.
Wayahudi na Wamarekani mavi debe, Jionee;
https://youtu.be/lVwK-lXMvDg?si=s71lmoSKbZwiuhk9
Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians)
Juzi na jana...
Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie.
Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja.
Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi...
Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi.
Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa.
Wapalestine wa...
GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya...
Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya....
==================
ROMAN ERSHOV. PHOTO: NATIONAL RESISTANCE CENTER
Ukrainian activists from the Cyber...
Sasa kama mnalisifia na mnalipenda Jeshi la Marekani kwa Utaratibu wake wa hasa Uniforms (Sare ) zao na Uvaaji wa Raia wa hizo Sare zao na Uzuri wa nchi yoo kwanini hasa hamhamii huko mkaishi na badala yake Sote tu tuko hapa hapa Dar es Salaam Tanzania tunasaka zetu Nyoka tu ili Kupambana na...
Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima kina cha maji, hakikurudi!!
British Challenger 2 tank 'hit' in Ukraine
By Thomas Spencer & Alex...
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa.
Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi.
Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.
Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo ya ndani.
Washenzi wanajitia kumsaidia uchaguzi JPM lakini akakataa wasipandishwe vyeo na sasa...
Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana...
Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia.
Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.