Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo raia wa kigeni kutoka mataifa mengine na kusababisha majeruhi.
Waziri wa Mambo ya Nje, Christophe...
Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote.
Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko.
===
Russia's most powerful mercenary, Yevgeny Prigozhin, said on Wednesday that he had asked prosecutors to investigate...
Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini.
Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
Tangu majeshi ya Russia yavamie Ukraine kumekuwa na tuhuma nyingi kutoka kwa Putin na Pro Russia kuwa majeshi ya NATO yamepelekwa Ukraine kupigana. Tuhuma hizo zimeenda mbali zaidi na kusema kuwa NATO inapeleka vifaa vyake vya kivita Ukraine. Rais Putin kila anapoongea na taifa amekuwa akidai...
Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
Makamanda wananipiga chenga hawataki kulipa madeni yangu wanasema hawajapata mshahara mpaka Jana jioni wqkati watumishi wengine tiyari wamenipa changu.
Mbona hii hali si kawaida au wameamua kunitapeli?
Mbabe wa vita kwa karne yetu
Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao.
===========================
Zelenskyy visits troops on Donetsk front line
Zelenskyy has visited...
CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican.
Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister
Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa...
Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani.
Sitisho hilo liliwekwa ili kuruhusu wananchi kuondoka pamoja na shughuli za kuwaondoa Raia wa Nchi...
Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi.
Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani?
Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
Hi?
Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa Watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tanzania bara wala visiwani.
General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land.
Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe...
Kwanza nitoe pongezi kwa majeshi yote ya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na mipaka ya nchi yetu, Huu ni mtazamo wangu kwa jinsi ninavyotazamia haya masuala ya ulinzi na usalama.
Kuna jambo ambalo kama serikali inabidi ilizingatie kwa maslahi mapana ya taifa, Jambo...
Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk.
Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao...
Kufuatiwa mgogoro wa DRC/Congo dhidi ya M23 ambao umepelekea nchi wanachama wa Africa mashariki kupeleka vikosi vyake kupambana na kundi hilo la kiasi ambalo DRC inaishutumu Rwanda kulisupport kifedha, kiinteligencia na kijeshi.
Mpaka sasa nchi 5 kati ya 7 zimepeleka majeshi yake DRC /Nchi zote...
Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama.
Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.