Siamini kabisa mambo yanayofanywa na polisi wetu kama kuna weledi wowote wa kiufundi unaozingatia taaluma zao. Naona kabisa shida kubwa zamani tukikosa wasomi recruitment ikawa inachukua darasa la 7 na huenda hawa ndio Ma-RPCs na OCDs wengi na baadhi ya Waandamizi pale HQ. Hii ndio shida...
Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria.
Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na wake zake watatu na watoto katika mji wa Gwoza ndani ya jimbo la Bono ambako ndipo vikosi vya jeshi...
4 August 2021
Maputo, Mozambique
Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane
Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili...
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali.
Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa RPF chini ya Paul kagame umefanya mpinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwenye nchi ya Rwanda.
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Inakuwaje WanaJF!
Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana. Hao ni washenajeshi wa Ethiopia walioshikwa mateka wakiwa paraded Mekelle mji mkuu wa Tigray...
Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa...
Alizaliwa kwenye kambi za wakimbizi ukanda wa Gaza mwaka 1965
Aliwahi kufungwa kwenye majela ya Israel miaka ya mwanzo ya tisini
Ndie kamanda mkuu wa kikundi cha kijeshi, Qassam Brigades, cha Utawala wa Hamas wa Palestina
Anatafutwa kwa udi na uvumba na vyombo vya kijasusi na kijeshi vya...
Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya awamu hiyo bila kutumbuliwa.
Kila ukiangalia picha za awamo ya tano utabaini alipokuwa Rais na huyu...
"Kenyan troops will arrive in the DRC in the coming weeks to support our armed forces in order to attack in the most effective way this problem of terrorism and violence in the east of our country"
=====
RDC: Félix Tshisekedi promet une réaction musclée aux terroristes qui sévissent dans l’Est...
Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea.
Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo wanaohusishwa na chama kikuu cha upinzani.
Katika taarifa iliyotolewa usiku Alhamisi rais hakutoa sababu ya...
Serikali iliangalie hili.
Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu.
Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa.
Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali.
Mambo ya hovyo sana.
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani
kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.